Ni wakati muafaka kwa Zitto Kabwe kujiunga na serikali sikivu ya CCM kwa kazi maalumu ya maendeleo ya Watanzania

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ni dhahiri katika masuala ya siasa na uchumi Zitto Zuberi Kabwe ni mzoefu na anaweza kua bora kwa kiwango cha juu zaidi huenda ukalinganisha na nanma ambavyo David Kafulila anaperfom vizuri katika viwango bora vya juu zaidi vya kimataifa kwenye wadhifa na jukumu muhimu sana katika uchumi wa nchi yetu, nafasi ya Ukamishana wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPP). Well done kamishna David Kafulila.

Ni ukweli mtupu tena usiofichika ndugu Zito Kabwe anaweza kusaidia pakubwa mambo muhimu sana ya kitaifa kwenye uchumi wa nchi yetu na wananchi wote wakafaidika. maarifa, ubunifu na ujuzi wake katika uchumi, maskini ya Mungu unapotea bila kuchangia vya kutosha kubadili maisha ya watu.

Nadhani tunajifunza kwa ambao wana taaluma mbalimbali humu nchini na hivi sasa jua linazama na hawajasaidia hata kidogo kuleta mageuzi au mabadiliko yoyote kulingana na taaluma zilizobeba majina yao kwa mfano kwenye familia zao, kwa jamaa zao, ndugu zao wala taifa lao.

Actually, huu ni wasaa muhimu zaidi kwa wazee vijanaa hawa zito kabwe na John Myika kujiunga CCM na hatimae kuungana na kijana mwenzao David Kafulila ambae kwakweli anafanya kazi nzuri mno kwa maslahi mapana ya nchi yetu, kwa kutumia vizuri muda wake, elimu, ujuzi na maarifa yake kitaaluma.

Kwa kipindi kirefu wazee vijana hawa, wametumia taaluma na nguvu zao kupinga mipango ya maendeleo ya wanainchi kwa nguvu zote, bila mafanikio yoyote na sasa na wao muda unayoyoma hakuna la maana la kuwakumbuka.

Hivi sasa hawana budi kujitafakari na kufanya uamuzi mgumu Lakini wa maana sana kuungana na waTanzania wengine wazalendo katika kubuni na kushauri namna bora zaidi ya kuchochea maendeleo endelevu kwa wanainchi wakiwa ndani ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais na kiongozi kipenzi cha waTanzania Dr Samia suluhu Hassan πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Sijasoma mashudu ya Mbunge mtarajiwa ila nijuacho, aende CCM kwa kuwa Rais wa sasa ni Muislam mwenzake. Hilo linawezekana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
we nanii, gentleman huku sio kwa wavivu unafanya nn sasa na udini wako kwenye kazi muhimu sana ya maendeleo ya wanainchi na waTanzania wote? alaa 🀣
 
Haya madodoki mengine bwana..!πŸ˜€
umepatwa mihemko baba mshana,tulia hivyo hivyo kazi ya kuleta mageuzi na maendeleo ya wanainchi na waTanzania wote ni ngumu mno, inahitaji ustahimilivu, Umoja na subra sio mihemko πŸ’

pole Lakini, maana hamna namna nyingine sasaπŸ’
 
Kwani huko UVCCM hakunaga walioenda shule?

Kwani Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable ni Darasa la ngapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kazi ya kizalendo ya kujenga Taifa na kuchochea maendeleo haina fikra potofu na mgando kihivyo gentleman,

nchi hii ni yetu sote na ni muhimu fikra dumavu kama hizo zikaepukwa ili wanainchi na waTanzania wote wapate fursa ya kushiriki kazi muhimu sana ya kizalendo ya kujenga Taifa lao, sawa ndrugu zango πŸ’
 
Haya madodoki mengine bwana..!

Wewe ni ccm hebu tusaidie kujibu
unatafuta kupewa moyo au kutiwa matumaini gentleman 🀣

jibu la msingi lipo hapo juu mkusanyane na mshirikishane nyote sawa gentlemanπŸ’
 
Andika kwa kutulia.Umeandika "wanainchi"-ndiyo nini sasa!
 
Acheni kumislead taifa, ccm ni chama kiziwi na kipofu kwa kua hakisikii wala kuona matatizo yanayolikabili taifa! Viongozi wa sasa wa Ccm wana maono ya kuoΓ±goza vitu na si watu!
 
Andika kwa kutulia.Umeandika "wanainchi"-ndiyo nini sasa!
angesema hayati Lyatonga Mrema haina shida ila kwasabb ya umakini wa jibu la msingi kwa muungwana muuliza swali kua na impact hadi kwenye mioyo ya wengine,,

silabi I imechochea mihemko 🀣

by the way sorry mwalimu dah πŸ’
 
Acheni kumislead taifa, ccm ni chama kiziwi na kipofu kwa kua hakisikii wala kuona matatizo yanayolikabili taifa! Viongozi wa sasa wa Ccm wana maono ya kuoΓ±goza vitu na si watu!
gentleman,
kwanza relax na upunguze makasiriko ambayo hayana maana yoyote..

Jambo la pili,
address hoja yako kwa mtoa hoja ambae ni mimi na usijumuishe wengine wasio husika,

jambo la tatu na la mwisho,
kazi ya maendeleo ni jukumu la kila mwanainchi. na kwa maoni yangu CCM ni platform muhimu na yenye weledi na nguvu ya kuchochea hayo maendeleo na hivyo napendekeza watu mbalimbali wenye ujuzi kujiunga huko...

ikiwa unayo mawazo mapya na fikra mbdala dhidi ya mapendekezo yangu ni vema ukayaeleza kinaga ubaga bila mihemko, ghadhab, hasira wala makasiriko πŸ’
 
Kwahiyo UVCCM mna Tija gani kama Vijana Wote mahiri CCM inawavuna kutoka Bavicha?

Hata Mwita Waitara ilibidi aende kujifunza Uongozi Bavicha

Labda ndio sababu Shujaa Magufuli alitaka kuifutilia mbali Yuvisisiemu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa maoni yako ccm ni platform sahihi right? Miaka mingapi tikea iundwe,ukiacha gilba na kujikomba kwa mataifa ya kimagharibi kwa jina la demokrasia binafsi ccm naichukulia tu kama kichwa cha mwendawazimu ambacho chochote ni sahihi
 
Ccm kwa wao binafsi mefanikiwa sana.
Kwa wananchi wa Tz wengi hawaikubali hasa wasomi; Ni dhahiri Kuna kitu hakipo sawa bado najifunza.πŸ€”
 
Huyo ni mwanaccm Tangu 2008,anaifanyia kazi CCM na serikali Kwa muda wote!!

Jpm hakutaka unafiki ndio maana alimuweka benchi!
 
actually,
dhamira na nia ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr Samia suluhu Hassan ni kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi Kimataifa kazi ambayo kwakweli inafanyika vizuri sana nchini na nadhani sote ni mashahidi wewe pamoja na wengine tunashudia ukweli huo...

sasa hiyo dhana unayojaribu kuijenga,
kwanza ni potofu lakini pili ni dumavu na imeua vipaji vya vijana wengine mno huko kwenye mavyama yasio na uelekeo na sasa umri unasonga na hao vijana wawili nimewataja kwenye hoja ya msingi wasipojitafakari na kujukua uamuzi mgumu, vipaji vyoa navyo vitatokomea bila kua na msaada wowote kwa familia zao na humu nchini kwa ujumla πŸ’

Let's all the youths of this beautiful land join hands, heads and brains together for betterments of our own beautiful country development πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…