Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni dhahiri katika masuala ya siasa na uchumi Zitto Zuberi Kabwe ni mzoefu na anaweza kua bora kwa kiwango cha juu zaidi huenda ukalinganisha na nanma ambavyo David Kafulila anaperfom vizuri katika viwango bora vya juu zaidi vya kimataifa kwenye wadhifa na jukumu muhimu sana katika uchumi wa nchi yetu, nafasi ya Ukamishana wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPP). Well done kamishna David Kafulila.
Ni ukweli mtupu tena usiofichika ndugu Zito Kabwe anaweza kusaidia pakubwa mambo muhimu sana ya kitaifa kwenye uchumi wa nchi yetu na wananchi wote wakafaidika. maarifa, ubunifu na ujuzi wake katika uchumi, maskini ya Mungu unapotea bila kuchangia vya kutosha kubadili maisha ya watu.
Nadhani tunajifunza kwa ambao wana taaluma mbalimbali humu nchini na hivi sasa jua linazama na hawajasaidia hata kidogo kuleta mageuzi au mabadiliko yoyote kulingana na taaluma zilizobeba majina yao kwa mfano kwenye familia zao, kwa jamaa zao, ndugu zao wala taifa lao.
Actually, huu ni wasaa muhimu zaidi kwa wazee vijanaa hawa zito kabwe na John Myika kujiunga CCM na hatimae kuungana na kijana mwenzao David Kafulila ambae kwakweli anafanya kazi nzuri mno kwa maslahi mapana ya nchi yetu, kwa kutumia vizuri muda wake, elimu, ujuzi na maarifa yake kitaaluma.
Kwa kipindi kirefu wazee vijana hawa, wametumia taaluma na nguvu zao kupinga mipango ya maendeleo ya wanainchi kwa nguvu zote, bila mafanikio yoyote na sasa na wao muda unayoyoma hakuna la maana la kuwakumbuka.
Hivi sasa hawana budi kujitafakari na kufanya uamuzi mgumu Lakini wa maana sana kuungana na waTanzania wengine wazalendo katika kubuni na kushauri namna bora zaidi ya kuchochea maendeleo endelevu kwa wanainchi wakiwa ndani ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais na kiongozi kipenzi cha waTanzania Dr Samia suluhu Hassan 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.