johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nakuuliza tena hapo UVCCM mnafanya nini?actually,
dhamira na nia ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr Samia suluhu Hassan ni kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi Kimataifa kazi ambayo kwakweli inafanyika vizuri sana nchini na nadhani sote ni mashahidi wewe pamoja na wengine tunashudia ukweli huo...
sasa hiyo dhana unayojaribu kuijenga,
kwanza ni potofu lakini pili ni dumavu na imeua vipaji vya vijana wengine mno huko kwenye mavyama yasio na uelekeo na sasa umri unasonga na hao vijana wawili nimewataja kwenye hoja ya msingi wasipojitafakari na kujukua uamuzi mgumu, vipaji vyoa navyo vitatokomea bila kua na msaada wowote kwa familia zao na humu nchini kwa ujumla π
Let's all the youths of this beautiful land join hands, heads and brains together for betterments of our own beautiful country development π
Au mnaendekeza Uchawa tu? π
Zitto Kabwe kastaafu Uongozi ACT Wazalendo kwa mujibu wa Katiba Wewe unamuona anafaa kuwa yuvisisiemu ππππππ