Ni wakati muafaka kwa Zitto Kabwe kujiunga na serikali sikivu ya CCM kwa kazi maalumu ya maendeleo ya Watanzania

actually,
dhamira na nia ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr Samia suluhu Hassan ni kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi Kimataifa kazi ambayo kwakweli inafanyika vizuri sana nchini na nadhani sote ni mashahidi wewe pamoja na wengine tunashudia ukweli huo...

sasa hiyo dhana unayojaribu kuijenga,
kwanza ni potofu lakini pili ni dumavu na imeua vipaji vya vijana wengine mno huko kwenye mavyama yasio na uelekeo na sasa umri unasonga na hao vijana wawili nimewataja kwenye hoja ya msingi wasipojitafakari na kujukua uamuzi mgumu, vipaji vyoa navyo vitatokomea bila kua na msaada wowote kwa familia zao na humu nchini kwa ujumla 🐒

Let's all the youths of this beautiful land join hands, heads and brains together for betterments of our own beautiful country development 🐒
Nakuuliza tena hapo UVCCM mnafanya nini?

Au mnaendekeza Uchawa tu? 😂

Zitto Kabwe kastaafu Uongozi ACT Wazalendo kwa mujibu wa Katiba Wewe unamuona anafaa kuwa yuvisisiemu 😂😂😂😂😂😂
 
nachelea kusisitiza kuepuka upotofu na udumavu wa fikra katika namna bora jumuishi ya kujenga Taifa moja teule la Tanzania..

katika dhamira hiyo yangu na ile nia ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan, huwezi kuona sijui chama cha siasa gani sijui nani alikua nani kwenye chama gani...

bali unaiona Tanzania kama nchi na waTanzania wazalendo kama nguvu kazi moja ya kujenga na kuchochea maendeleo endelevu ya wanainchi kijamii kisiasa na kiuchumi...

kupumbazwa na vyama vya kisiasa kumewafanya wengi kua kama misukule tu,

yaani, uvyama umewajaa vichwani mioyoni utadhani hirizi 🐒
 
Ila Jumapili ya Leo umekuwa mkweli wakati nyie mnaimarisha Uchawa Vyama vya Upinzani wanatengeneza Vijana wa Kujenga Taifa

Mungu wa mbinguni awabariki Prof Kitila, Kafulila, Bananga, Katambi na David Silinde 😃🌹
 
Ccm kwa wao binafsi mefanikiwa sana.
Kwa wananchi wa Tz wengi hawaikubali hasa wasomi; Ni dhahiri Kuna kitu hakipo sawa bado najifunza.🤔
Okay,
wew wa kujifunza fuatilia mambo haya kwa ukaribu zaidi na nikuhakikishie tu kwama uelewa na ufahamu wako katika mambo haya utaongezeka na bilashaka yoyote utapata mawazo mapya na fikra mbdala juu ya mambo mengi sana hususan ya kisiasa...

epuka mihemko,
kwasabb wengi wenye hulka hiyo hitimisho la kila lililokinyume na maoni au mitazamo yao hua ni kuporomosha matusi...

Otherwise,
bado nasisitiza Zito kabwe na huyu John Myika yafaa sasa wajiunge na serikali sikivu ya CCM ili hatimae vipaji na elimu zao zipate nafasi katika kuchochea maendeleo endelevu ya wanainchi kama ambyavyo mwezao Devid Kafulila anavyo fanya kazi nzuri sana huko PPP🐒
 
Ila Jumapili ya Leo umekuwa mkweli wakati nyie mnaimarisha Uchawa Vyama vya Upinzani wanatengeneza Vijana wa Kujenga Taifa

Mungu wa mbinguni awabariki Prof Kitila, Kafulila, Bananga, Katambi na David Silinde 😃🌹
mwanadiplomasia mwandamizi wa kisiasa nchini kama mimi nawezaje kupotosha wana JF ninaowaheshimu kiasi hiki?

daima nasema kweli kwa maslahi mapana ya umoja wa kitaifa.
Zito Kabwe na John Myika wanaweza kusaidia kwa kiasi kazi ya kuchochea maendeleo endelevu ya wanainchi,

kuliko hiyo ngumu ya kupinga maendeleo ambayo wameishindwa kwa kipindi kirefu sana na sasa wanazeeka na hakuna cha maana kuwakumbuka 🐒
 
Tunawasubiri akina Keegan na Isaac 😃😃😃
 
Huyo ni mwanaccm Tangu 2008,anaifanyia kazi CCM na serikali Kwa muda wote!!

Jpm hakutaka unafiki ndio maana alimuweka benchi!
hilo sio la maana sana kwa ujenzi wa taifa moja la kisasa,

la muhimu zaid ni kuungana kama Taifa na kua na uelekeo moja kwa manufaa ya waTanzania wote 🐒
 
Hao wamesomeshwa kwa Viwango vya juu kabisa kuja kuisaidia UVCCM kuanzia pale alipoachia Injinia Masauni na Wakili Msomi Beno Malisa 😂😂
nadhani uelekeo wa serikali ya sasa ni kuondoa mfumo tegemezi na kuwafanya vijanaa wake kwa waume kujitegemea zaidi...

ujengewa uwezo wa namna ya kukusanya nguvu na kufanya mambo binafsi bila utegemezi kama ambao unazungumzia nadhani miongoni mwa changamoto katika taasisi mbalimbali ni hiyo kiburi ya eti alisomeshwa sijui na nani au yule ni mtoto wa Fulani n.k

mfumo huo dume unatuchelewasha mambo mengi sana n.k🐒
 
Bwashee kubali tu Yuvisisiemu ni kundi la CHAWA

Unapoona nchimbi na makala wamemkodi Mchungaji Msigwa ujue nyie hamna msaada wowote kwa Chama 😂😂

Uzuri UVCCM ilijengwa na akina Sukwa, Guninita, Lukuvi na huyu Dr Nchimbi hivyo nilipoona komredi Nchimbi anamualika Mchungaji Msigwa nikaelewa nyie akina Lucas mna Udhaifu uliotukuka 😃😃😃

Nimemaliza 🐼
 
Ni dhahiri katika masuala ya siasa na uchumi Zitto Zuberi Kabwe ni mzoefu na anaweza kua bora kwa kiwango cha juu zaidi huenda ukalinganisha na nanma ambavyo David Kafulila anaperfom vizuri katika viwango bora vya juu zaidi vya kimataifa kwenye wadhifa na jukumu muhimu sana katika uchumi wa nchi yetu, nafasi ya Ukamishana wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPP). Well done kamishna David Kafulila.

Ni ukweli mtupu tena usiofichika ndugu Zito Kabwe anaweza kusaidia pakubwa mambo muhimu sana ya kitaifa kwenye uchumi wa nchi yetu na wananchi wote wakafaidika. maarifa, ubunifu na ujuzi wake katika uchumi, maskini ya Mungu unapotea bila kuchangia vya kutosha kubadili maisha ya watu.

Nadhani tunajifunza kwa ambao wana taaluma mbalimbali humu nchini na hivi sasa jua linazama na hawajasaidia hata kidogo kuleta mageuzi au mabadiliko yoyote kulingana na taaluma zilizobeba majina yao kwa mfano kwenye familia zao, kwa jamaa zao, ndugu zao wala taifa lao.

Actually, huu ni wasaa muhimu zaidi kwa wazee vijanaa hawa zito kabwe na John Myika kujiunga CCM na hatimae kuungana na kijana mwenzao David Kafulila ambae kwakweli anafanya kazi nzuri mno kwa maslahi mapana ya nchi yetu, kwa kutumia vizuri muda wake, elimu, ujuzi na maarifa yake kitaaluma.

Kwa kipindi kirefu wazee vijana hawa, wametumia taaluma na nguvu zao kupinga mipango ya maendeleo ya wanainchi kwa nguvu zote, bila mafanikio yoyote na sasa na wao muda unayoyoma hakuna la maana la kuwakumbuka.

Hivi sasa hawana budi kujitafakari na kufanya uamuzi mgumu Lakini wa maana sana kuungana na waTanzania wengine wazalendo katika kubuni na kushauri namna bora zaidi ya kuchochea maendeleo endelevu kwa wanainchi wakiwa ndani ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais na kiongozi kipenzi cha waTanzania Dr Samia suluhu Hassan 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijaisoma habari yote kumbe huyu TlaaTlaa ni..........
Kwani Zitto yupo chama gani ?
 
Haya madodoki mengine bwana..!
Kwani huko UVCCM hakunaga walioenda shule?

Kwani Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable ni Darasa la ngapi? 😂😂😂
Wewe ni ccm hebu tusaidie kujibu
umepatwa mihemko baba mshana,tulia hivyo hivyo kazi ya kuleta mageuzi na maendeleo ya wanainchi na waTanzania wote ni ngumu mno, inahitaji ustahimilivu, Umoja na subra sio mihemko 🐒

pole Lakini, maana hamna namna nyingine sasa🐒
Lucas Mwashambwa LIKE this 😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijaisoma habari yote kumbe huyu TlaaTlaa ni..........
Kwani Zitto yupo chama gani ?
masuala ya kuwaza au kufikiria masuala ya vyama kwenye jambo muhimu kama maendeleo ya Taifa ni udumavu wa fikra, hujuma na sio uzalendo kwa taifa :BASED:
 
Ni dhahiri katika masuala ya siasa na uchumi Zitto Zuberi Kabwe ni mzoefu na anaweza kua bora kwa kiwango cha juu zaidi huenda ukalinganisha na nanma ambavyo David Kafulila anaperfom vizuri katika viwango bora vya juu zaidi vya kimataifa kwenye wadhifa na jukumu muhimu sana katika uchumi wa nchi yetu, nafasi ya Ukamishana wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPP). Well done kamishna David Kafulila.

Ni ukweli mtupu tena usiofichika ndugu Zito Kabwe anaweza kusaidia pakubwa mambo muhimu sana ya kitaifa kwenye uchumi wa nchi yetu na wananchi wote wakafaidika. maarifa, ubunifu na ujuzi wake katika uchumi, maskini ya Mungu unapotea bila kuchangia vya kutosha kubadili maisha ya watu.

Nadhani tunajifunza kwa ambao wana taaluma mbalimbali humu nchini na hivi sasa jua linazama na hawajasaidia hata kidogo kuleta mageuzi au mabadiliko yoyote kulingana na taaluma zilizobeba majina yao kwa mfano kwenye familia zao, kwa jamaa zao, ndugu zao wala taifa lao.

Actually, huu ni wasaa muhimu zaidi kwa wazee vijanaa hawa zito kabwe na John Myika kujiunga CCM na hatimae kuungana na kijana mwenzao David Kafulila ambae kwakweli anafanya kazi nzuri mno kwa maslahi mapana ya nchi yetu, kwa kutumia vizuri muda wake, elimu, ujuzi na maarifa yake kitaaluma.

Kwa kipindi kirefu wazee vijana hawa, wametumia taaluma na nguvu zao kupinga mipango ya maendeleo ya wanainchi kwa nguvu zote, bila mafanikio yoyote na sasa na wao muda unayoyoma hakuna la maana la kuwakumbuka.

Hivi sasa hawana budi kujitafakari na kufanya uamuzi mgumu Lakini wa maana sana kuungana na waTanzania wengine wazalendo katika kubuni na kushauri namna bora zaidi ya kuchochea maendeleo endelevu kwa wanainchi wakiwa ndani ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais na kiongozi kipenzi cha waTanzania Dr Samia suluhu Hassan 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Ajiunge ccm kwani yuko wapi?
 
Ajiunge ccm kwani yuko wapi?
najaribu kurudia kusoma aya iliyosema ajiunge ccm, na sioni, au una bandiko lako la chuki kichwani?

gentleman,
una mihemko au una makasiriko binafsi pamoja na wenzio baadhi? :pedroP:
 
Back
Top Bottom