Pre GE2025 Ni wakati muafaka na sahihi kwa David Kafulila kurejea Bungeni mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Propaganda na ukweli ni vitu viwili tofauti
Waulize watumishi wa umma wanaostaafu nyakati hizi Hali zao zikojje?
Siyo propaganda bali ndio ukweli wenyewe.hata suala la kikokotoo ambalo lilipitishwa kabla ya Rais samia kuingia madarakani limetolewa ufafanuzi mzuri na serikali imesema inaendelea kulifanyia kazi.
 
Jitahidi kuwa mstaarabu na mwenye hekima ,busara na staha unapoandika hoja zako.
Wewe mbona huna adabu mtu akiwa na mawazo tofauti na ya kwako unamuita kichaa,mvuta bangi na maneno mengine tu ya kuudhi. Toa boriti kwenye jicho lako kabla ya kuona kibanzi kwenye jicho langu.
 
Wewe mbona huna adabu mtu akiwa na mawazo tofauti na ya kwako unamuita kichaa,mvuta bangi na maneno mengine tu ya kuudhi. Toa boriti kwenye jicho lako kabla ya kuona kibanzi kwenye jicho langu.
Hapana ndugu yangu mimi huwa siwatukani watu humu jukwaani.
 
Mimi sio mshabiki Sana wa Siasa za Tanzania ila Kafulila ni mtu mwenye siasa za kitofauti kidogo nadhani wanaopenda siasa wamtupie jicho.
 
Easy! Mwambie mama!
 
Mimi sio mshabiki Sana wa Siasa za Tanzania ila Kafulila ni mtu mwenye siasa za kitofauti kidogo nadhani wanaopenda siasa wamtupie jicho.
Upo sahihi kabisa. Mheshimiwa Kafulila ana kitu cha kiutofauti sana ndani yake ambacho ni faida kwa Taifa letu.apewe nafasi zaidi
 
wanainchi wa Uvinza kigoma, anzeni kuifikiria hii chuma itawasogeza mbele na kuwapaisha juu sana kimaendeleo πŸ’
 
Shetani na hasara kwa wazazi. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…