Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Nashukuru sana mkuuLucas Mwamshamba the Great
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana mkuuLucas Mwamshamba the Great
Kafulila ni mwamba halisi aise 2.8bl sio mchezo.Ndugu zangu Watanzania,
Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja na kuitetea hoja,tunafahamu bila shaka uelewa wake wa masuala mbalimbali hususani ya kiuchumi, biashara,fedha n.k.
Sote ni wazi tunakubaliana kwa pamoja kuwa Chuma David Kafulila ni mtu aliye muadilifu,muaminifu na mtu aliyenyooka kama rula kitabia.hanaga kupinda pinda. Ni mtetezi wa kweli wa Taifa letu kama ilivyo kwa mama yetu na Jemedari wetu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Sote tunatambua ni mtu mnyenyekevu,mstarabu na mtulivu sana kiongozi.
Sote tunatambua kuwa ni mtu anayeacha alama za kiuongozi kila eneo anapopewa nafasi na kuaminiwa kutumikia Taifa lake.tumeona tangia akiwa mbunge,RAS Songwe,RC Simiyu na sasa mkurugenzi Mkuu wa PPP.
Hivyo naona ni wakati muafaka na sahihi na wakati wake wa kuweza kurejea Bungeni hapo mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.ni wakati wa kulitumikia Taifa lake na kumsaidia Mheshimiwa Rais katika masuala mbalimbali ya kisera. Ni dhahiri sauti ya Chuma David Kafulila inahitajika Bungeni.ni muhimu watu aina yake wakawa sehemu ya bunge.
na kama ikimpendeza Jemedari wetu Mama Samia Basi anaweza kumvuta ndani ya Baraza lake la Mawaziri atakaloliunda mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi na yeye kuwa amepita na kushinda Urais kwa kishindoo.maana watanzania wanakiu kubwa sana ya kumpa kura za ndio kwa fujo kama shukurani kwa kazi kubwa aliyowafanyia.
Natambua pia watu aina ya David Kafulila huwa wakati mwingine wanapigwa vita sana,kuchukiwa bila sababu ,kusingiziwa uongo,kupakwa matope,kusulubiwa na mikuki ya maneno ya kizushi na uongo na watu wenye uchafu na Makando kando au wasiopenda kusikia ukweli masikioni mwao. Lakini tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutupatia Rais Samia Jemedari wetu imara na shupavu ambaye yeye amejaa upendo mkubwa sana kwa watu wazalendo na wachapa kazi aina ya David Kafulila na ndio maana ameendelea kuwa naye na kumuamini mpaka kumpatia Ukurugenzi wa PPP. japo kuna watu hasa wabaya wa Kafulila wanatamani au wasingependa kuona akipata nafasi yoyote ile katika serikali ya Rais SAMIA maana inakuwa inawapa hofu na uoga mkubwa sana.
Watanzania tunapaswa kujenga utamaduni wa kuwatia moyo, kuwaunga mkono,kuwatetea ,kuwasemea wazalendo aina ya Daktari Mama Samia Suluhu na David Kafulila na wengine wengi.kwa kuwa wazalendo siku zote hupigwa vita ,kushambuliwa,kuumizwa,kutengenezewa ajali,kuchafuliwa na kuchukiwa sana bila sababu ya aina yoyote ile. Tumlinde na kumtetea Rais wetu na wale wote wanaoonyesha dhamira na muelekeo wa uzalendo kwa Taifa letu kwa dhati ya mioyo yao. David Kafulila Ni mzalendo na mchapakazi na anastahili kuungwa mkono.
Ngoja niweke kalamu yangu chini ili kutorefusha andiko na kuwachosha wasomaji.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwashambwa uko vizuri sana🤣🤣Ndugu zangu Watanzania,

Nashukuru sana mkuuMwashambwa uko vizuri sana🤣🤣
Naunga mkono hoja yako, Kuna watu wako Bungeni pale hakuna kitu wanafanya,Ndugu zangu Watanzania,

Kafulila lazima arudi Bungeni , 2025 kutakuwa na Wabunge wa Upinzani hivyo tunahitaji watu wa kujenga hoja zaidi.Ndugu zangu Watanzania,

Mchango na Sauti ya Mheshimiwa Kafulila inahitajika sana ndani ya Bunge letu hapo mwakani.Kafulila lazima arudi Bungeni , 2025 kutakuwa na Wabunge wa Upinzani hivyo tunahitaji watu wa kujenga hoja zaidi.
Nakubaliana na wewe kabisa, Bunge na Upinzani Vs CCM bila watu kama akina Kafulila hali itakuwa sio nzuriMchango na Sauti ya Mheshimiwa Kafulila inahitajika sana ndani ya Bunge letu hapo mwakani.
Upo sahihi kabisa na nakuunga mkono.Nakubaliana na wewe kabisa, Bunge na Upinzani Vs CCM bila watu kama akina Kafulila hali itakuwa sio nzuri
Sio Ubunge tu hata Uwaziei ni sawaNdugu zangu Watanzania,
Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja na kuitetea hoja,tunafahamu bila shaka uelewa wake wa masuala mbalimbali hususani ya kiuchumi, biashara,fedha n.k.
Sote ni wazi tunakubaliana kwa pamoja kuwa Chuma David Kafulila ni mtu aliye muadilifu,muaminifu na mtu aliyenyooka kama rula kitabia.hanaga kupinda pinda. Ni mtetezi wa kweli wa Taifa letu kama ilivyo kwa mama yetu na Jemedari wetu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Sote tunatambua ni mtu mnyenyekevu,mstarabu na mtulivu sana kiongozi.
Sote tunatambua kuwa ni mtu anayeacha alama za kiuongozi kila eneo anapopewa nafasi na kuaminiwa kutumikia Taifa lake.tumeona tangia akiwa mbunge,RAS Songwe,RC Simiyu na sasa mkurugenzi Mkuu wa PPP.
Hivyo naona ni wakati muafaka na sahihi na wakati wake wa kuweza kurejea Bungeni hapo mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.ni wakati wa kulitumikia Taifa lake na kumsaidia Mheshimiwa Rais katika masuala mbalimbali ya kisera. Ni dhahiri sauti ya Chuma David Kafulila inahitajika Bungeni.ni muhimu watu aina yake wakawa sehemu ya bunge.
na kama ikimpendeza Jemedari wetu Mama Samia Basi anaweza kumvuta ndani ya Baraza lake la Mawaziri atakaloliunda mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi na yeye kuwa amepita na kushinda Urais kwa kishindoo.maana watanzania wanakiu kubwa sana ya kumpa kura za ndio kwa fujo kama shukurani kwa kazi kubwa aliyowafanyia.
Natambua pia watu aina ya David Kafulila huwa wakati mwingine wanapigwa vita sana,kuchukiwa bila sababu ,kusingiziwa uongo,kupakwa matope,kusulubiwa na mikuki ya maneno ya kizushi na uongo na watu wenye uchafu na Makando kando au wasiopenda kusikia ukweli masikioni mwao. Lakini tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutupatia Rais Samia Jemedari wetu imara na shupavu ambaye yeye amejaa upendo mkubwa sana kwa watu wazalendo na wachapa kazi aina ya David Kafulila na ndio maana ameendelea kuwa naye na kumuamini mpaka kumpatia Ukurugenzi wa PPP. japo kuna watu hasa wabaya wa Kafulila wanatamani au wasingependa kuona akipata nafasi yoyote ile katika serikali ya Rais SAMIA maana inakuwa inawapa hofu na uoga mkubwa sana.
Watanzania tunapaswa kujenga utamaduni wa kuwatia moyo, kuwaunga mkono,kuwatetea ,kuwasemea wazalendo aina ya Daktari Mama Samia Suluhu na David Kafulila na wengine wengi.kwa kuwa wazalendo siku zote hupigwa vita ,kushambuliwa,kuumizwa,kutengenezewa ajali,kuchafuliwa na kuchukiwa sana bila sababu ya aina yoyote ile. Tumlinde na kumtetea Rais wetu na wale wote wanaoonyesha dhamira na muelekeo wa uzalendo kwa Taifa letu kwa dhati ya mioyo yao. David Kafulila Ni mzalendo na mchapakazi na anastahili kuungwa mkono.
Ngoja niweke kalamu yangu chini ili kutorefusha andiko na kuwachosha wasomaji.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Akishaingia Bungeni naamini atapewa uwaziri na Mheshimiwa Rais.Sio Ubunge tu hata Uwaziei ni sawa
Kafulila Bungeni ni lazima tunamwombeaNdugu zangu Watanzania,

Sahihi kabisa aisee.Kafulila Is so smart it is true
Mungu amsaidie aingie Bungeni hapo MwakaniKafulila Bungeni ni lazima tunamwombea
Sisi CCM tunamuhitaji yeye zaidi Bungeni pengine kuliko yeye anavyolijitaji Bunge kwa sasaMungu amsaidie aingie Bungeni hapo Mwakani
Sina kipingamizi kabisa na huyu MwambaNdugu zangu Watanzania,
Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja na kuitetea hoja,tunafahamu bila shaka uelewa wake wa masuala mbalimbali hususani ya kiuchumi, biashara,fedha n.k.
Sote ni wazi tunakubaliana kwa pamoja kuwa Chuma David Kafulila ni mtu aliye muadilifu,muaminifu na mtu aliyenyooka kama rula kitabia.hanaga kupinda pinda. Ni mtetezi wa kweli wa Taifa letu kama ilivyo kwa mama yetu na Jemedari wetu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Sote tunatambua ni mtu mnyenyekevu,mstarabu na mtulivu sana kiongozi.
Sote tunatambua kuwa ni mtu anayeacha alama za kiuongozi kila eneo anapopewa nafasi na kuaminiwa kutumikia Taifa lake.tumeona tangia akiwa mbunge,RAS Songwe,RC Simiyu na sasa mkurugenzi Mkuu wa PPP.
Hivyo naona ni wakati muafaka na sahihi na wakati wake wa kuweza kurejea Bungeni hapo mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.ni wakati wa kulitumikia Taifa lake na kumsaidia Mheshimiwa Rais katika masuala mbalimbali ya kisera. Ni dhahiri sauti ya Chuma David Kafulila inahitajika Bungeni.ni muhimu watu aina yake wakawa sehemu ya bunge.
na kama ikimpendeza Jemedari wetu Mama Samia Basi anaweza kumvuta ndani ya Baraza lake la Mawaziri atakaloliunda mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi na yeye kuwa amepita na kushinda Urais kwa kishindoo.maana watanzania wanakiu kubwa sana ya kumpa kura za ndio kwa fujo kama shukurani kwa kazi kubwa aliyowafanyia.
Natambua pia watu aina ya David Kafulila huwa wakati mwingine wanapigwa vita sana,kuchukiwa bila sababu ,kusingiziwa uongo,kupakwa matope,kusulubiwa na mikuki ya maneno ya kizushi na uongo na watu wenye uchafu na Makando kando au wasiopenda kusikia ukweli masikioni mwao. Lakini tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutupatia Rais Samia Jemedari wetu imara na shupavu ambaye yeye amejaa upendo mkubwa sana kwa watu wazalendo na wachapa kazi aina ya David Kafulila na ndio maana ameendelea kuwa naye na kumuamini mpaka kumpatia Ukurugenzi wa PPP. japo kuna watu hasa wabaya wa Kafulila wanatamani au wasingependa kuona akipata nafasi yoyote ile katika serikali ya Rais SAMIA maana inakuwa inawapa hofu na uoga mkubwa sana.
Watanzania tunapaswa kujenga utamaduni wa kuwatia moyo, kuwaunga mkono,kuwatetea ,kuwasemea wazalendo aina ya Daktari Mama Samia Suluhu na David Kafulila na wengine wengi.kwa kuwa wazalendo siku zote hupigwa vita ,kushambuliwa,kuumizwa,kutengenezewa ajali,kuchafuliwa na kuchukiwa sana bila sababu ya aina yoyote ile. Tumlinde na kumtetea Rais wetu na wale wote wanaoonyesha dhamira na muelekeo wa uzalendo kwa Taifa letu kwa dhati ya mioyo yao. David Kafulila Ni mzalendo na mchapakazi na anastahili kuungwa mkono.
Ngoja niweke kalamu yangu chini ili kutorefusha andiko na kuwachosha wasomaji.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani umeambiwa wewe hivo visirani Vyako vya uzazi sio sahihi kuvileta huku kwa watu wenye furahaSasa unakuja kutuambia huku ili tufanye nini!?
Kwa kitengo alichopewa kilivyo na pesa na hakina stress za siasa kamwe hawezi kurudiNdugu zangu Watanzania,