Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

Siyo kweli. Mbowe akifanikiwa kuleta uhuru wa kweli wanufaika ni wananchi wote.
Hata Nyerere na wenzake walipopambania uhuru wa kisiasa wanufaika hawakuwa wao tu
Wacha kudanganywa na wanasiasa, hakuna mtu anapigania manufaa yako, Mbowe anapigania tumbo lake na familia yake tu
 
Mkuu usikimbie Chama kwa hayo unayoyaona!
Kwa nchi yetu siasa ni mapambano ndani na nje.
Pambana mpaka last drop!
 
Duh...!.
P
 
Toka kabisa, kwendraa huko who are you!
 
Arguements za kipumbavu na za kitoto,CDM aliondoka Dr.Slaa na haikuyumba who r u by the way?
 
Huna ukomavu wa kiasa waliondoka watu mashuhuri Lani CDM bado ipo sembuse wewe ambaye hata nikikuliza utoe na ya kadi Yako si ajabu huna
 
Wacha kudanganywa na wanasiasa, hakuna mtu anapigania manufaa yako, Mbowe anapigania tumbo lake na familia yake tuView attachment 3182881
Wewe ndio una-misled watu sababu upo na umaskini wa mali. Kuna ambao walizaliwa bila kuwa na changamoto ya mali.
Wewe uliye na changamoto ya mali ndio unafikiria mambo ya maslahi. Maana yake bado tujakuwa. Unafikiria vitu petty petty tu
 
Mbowe tulichelewa sana kumshtukia from Chacha wangwe, Kaborou, Zito kabwe, Wilbroad Slaa to Tundu Lissu
 
Wewe ndio una-misled watu sababu upo na umaskini wa mali. Kuna ambao walizaliwa bila kuwa na changamoto ya mali.
Wewe uliye na changamoto ya mali ndio unafikiria mambo ya maslahi. Maana yake bado tujakuwa. Unafikiria vitu petty petty tu
Kwenye siasa kuna makundi mawili tu, enemy and tools wewe pamoja na hao we zako ni tools za wanasiasa kifikia mambo yao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…