Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde).

Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi.

No wonder tunasoma mitandaoni kuwa TBC watarusha hotuba yake live(kweli wamerusha) kitu ambacho sijawahi kukiona kwa muda mrefu. Sasa iweje leo?Sisi sio wajinga.

No wonder Mbowe alimtetea Masauni aongee kwenye msiba wa Mzee Kibao licha ya waombolezaji kutotaka Masauni aongee.

No wonder CCM wanamtaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wakati kila siku walikuwa wanataka Mbowe ajiuzulu.

Nashawishika kuamini kuwa Mbowe alikuwa mpinzani wa kweli siku za nyuma lakini sio sasa

Naachana na CHADEMA ya Mbowe, chama ambacho kwa sasa ni kama mali yake.

Enough is enoug. After all, 20 years as Party Chairman, is more than enough.

NB: Mbowe atambue kuwa ana thamani sasa kwasababu CHADEMA alioijenga, ina thamani kubwa mbele ya watanzania. CHADEMA ikipoteza thamani, hata yeye hatokuwa na thamani tena na hao wanamtumia, watamtupa yeye na chama chake mithili ya jongoo na mti wake.
ni wakati muafaka zaidi kumpuuza Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi lisu 🐒
 
Chama chochote cha siasa kinaongozwa na sera na itikadi. Hawa chawa tunaowaona ni matokeo ya vyama vyao kuacha kufundisha itikadi na sera kwa wanachama wao ndio maana tunaona Kuna kundi badala ya kufata chama wanafata mtu.
 
Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde).

Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi.

No wonder tunasoma mitandaoni kuwa TBC watarusha hotuba yake live(kweli wamerusha) kitu ambacho sijawahi kukiona kwa muda mrefu. Sasa iweje leo?Sisi sio wajinga.

No wonder Mbowe alimtetea Masauni aongee kwenye msiba wa Mzee Kibao licha ya waombolezaji kutotaka Masauni aongee.

No wonder CCM wanamtaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wakati kila siku walikuwa wanataka Mbowe ajiuzulu.

Nashawishika kuamini kuwa Mbowe alikuwa mpinzani wa kweli siku za nyuma lakini sio sasa

Naachana na CHADEMA ya Mbowe, chama ambacho kwa sasa ni kama mali yake.

Enough is enoug. After all, 20 years as Party's Chairman, is more than enough.

NB: Mbowe atambue kuwa ana thamani sasa kwasababu CHADEMA alioijenga, ina thamani kubwa mbele ya watanzania. CHADEMA ikipoteza thamani, hata yeye hatokuwa na thamani tena na hao wanamtumia, watamtupa yeye na chama chake mithili ya jongoo na mti wake.
Mashujaa wa mtandaoni hamna impact yoyote, kuandamana tu mnaogopa kaandamana Mbowe na familia yake tu.
 
Sasa mwenyekiti wa saccoss ya kichaga aliandamana na familia yake sisi walalahoi ulitaka tufanye nini
Bora angefanya toto tundu tungeona la maana kuliko huyo mangi mroho na mwenye uchu wa pesa
 
Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde).

Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi.

No wonder tunasoma mitandaoni kuwa TBC watarusha hotuba yake live(kweli wamerusha) kitu ambacho sijawahi kukiona kwa muda mrefu. Sasa iweje leo?Sisi sio wajinga.

No wonder Mbowe alimtetea Masauni aongee kwenye msiba wa Mzee Kibao licha ya waombolezaji kutotaka Masauni aongee.

No wonder CCM wanamtaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wakati kila siku walikuwa wanataka Mbowe ajiuzulu.

Nashawishika kuamini kuwa Mbowe alikuwa mpinzani wa kweli siku za nyuma lakini sio sasa

Naachana na CHADEMA ya Mbowe, chama ambacho kwa sasa ni kama mali yake.

Enough is enoug. After all, 20 years as Party's Chairman, is more than enough.

NB: Mbowe atambue kuwa ana thamani sasa kwasababu CHADEMA alioijenga, ina thamani kubwa mbele ya watanzania. CHADEMA ikipoteza thamani, hata yeye hatokuwa na thamani tena na hao wanamtumia, watamtupa yeye na chama chake mithili ya jongoo na mti wake.
Ulikuwa wakati sahihi kwa Mbowe kuachia uenyekiti na kuwa mzee mshauri sasa. Hii nafasi imepotea, na sasa tutashuhudia kuporomoka kwa CDM kwenda mbele. It is very sad.
 
Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde).

Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi.

No wonder tunasoma mitandaoni kuwa TBC watarusha hotuba yake live(kweli wamerusha) kitu ambacho sijawahi kukiona kwa muda mrefu. Sasa iweje leo?Sisi sio wajinga.

No wonder Mbowe alimtetea Masauni aongee kwenye msiba wa Mzee Kibao licha ya waombolezaji kutotaka Masauni aongee.

No wonder CCM wanamtaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wakati kila siku walikuwa wanataka Mbowe ajiuzulu.

Nashawishika kuamini kuwa Mbowe alikuwa mpinzani wa kweli siku za nyuma lakini sio sasa

Naachana na CHADEMA ya Mbowe, chama ambacho kwa sasa ni kama mali yake.

Enough is enoug. After all, 20 years as Party's Chairman, is more than enough.

NB: Mbowe atambue kuwa ana thamani sasa kwasababu CHADEMA alioijenga, ina thamani kubwa mbele ya watanzania. CHADEMA ikipoteza thamani, hata yeye hatokuwa na thamani tena na hao wanamtumia, watamtupa yeye na chama chake mithili ya jongoo na mti wake.
Na uchawa wote huo kumbe sio mpiga kura wa mkutano taifa!!
 
Kwenda mwana kwenda ni haki yako kidemokrasia

Mbowe atashinda kwa kishindo
 
Mbowe siyo mamluki Ila tbc walifanya hivyo kumsapoti mbowe maana wanaona ni afadhali ya mbowe kihekima kuliko Lisu kisheria
 
Naunga mkono hoja yako mleta mada ya kujitoa ili ukapate muda wa kutafuta hela za kulipa madeni ya watu unayodaiwa yaliyokuzonga

Kwenda mwana kwenda
 
Mbowe kasema chama changu, ina maana chake peke yake na nyie ni tools zake tu kufukia malengo yake.
Ukisema mfano dini yangu katoliki au ya Kiislamu umekosea?

Ukisema chama changu Chadema au CCM hakuna shida yeyote
 
Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde).

Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi.

No wonder tunasoma mitandaoni kuwa TBC watarusha hotuba yake live(kweli wamerusha) kitu ambacho sijawahi kukiona kwa muda mrefu. Sasa iweje leo?Sisi sio wajinga.

No wonder Mbowe alimtetea Masauni aongee kwenye msiba wa Mzee Kibao licha ya waombolezaji kutotaka Masauni aongee.

No wonder CCM wanamtaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wakati kila siku walikuwa wanataka Mbowe ajiuzulu.

Nashawishika kuamini kuwa Mbowe alikuwa mpinzani wa kweli siku za nyuma lakini sio sasa

Naachana na CHADEMA ya Mbowe, chama ambacho kwa sasa ni kama mali yake.

Enough is enoug. After all, 20 years as Party's Chairman, is more than enough.

NB: Mbowe atambue kuwa ana thamani sasa kwasababu CHADEMA alioijenga, ina thamani kubwa mbele ya watanzania. CHADEMA ikipoteza thamani, hata yeye hatokuwa na thamani tena na hao wanamtumia, watamtupa yeye na chama chake mithili ya jongoo na mti wake.
Mbowe anajiona 'Angela Merkel's wa Chadema.
 
Mbowe kasema chama changu, ina maana chake peke yake na nyie ni tools tu kufukia malengo yake.
Hata Mimi maramojatu chama changu ni chadema. So Kila mwanachadema ni lazima aseme ni chake ili aweze kukipigania kwa jasho na damu. Mhe Mbowe ni kamanda wetu namba moja. As Samia is in our counterpart
 
Ukisema mfano dini yangu katoliki au ya Kiislamu umekosea?

Ukisema chama changu Chadema au CCM hakuna shida yeyote
Sikiliza kijana, kwenye siasa kuna makundi mawili tu, enemy and tools. Mbowe na Lisu ni enemy mliobaki ni tools za wasiasa kufikia malengo yao.
 
Sio alikua mpinzani wa kweli hajawahi kuwa mpinzani wa kweli

Ni mwigizaji kwelikweli

Watu wa system siku zote wanafuata story na kuitanabaisha vyema

Amefuata script vyema kabisa kama ambavyo mzee mlema ambaye alikua mwalimu wao kabisa

Kama ngongwe bwana zitto alivyo mtu wao kabisa
Inshort Tanzania after Structural adjustment programme SAP ya 1992 nyerere alitufanyia mauza uza yule mzee

And they are keeping that thing in a chain

Forming new political part that they can control

Its becoming too much now and i don't see Tanzania succeeding in averagely thousand years to come
 
Sikiliza kijana, kwenye siasa kuna makundi mawili tu, enemy and tools. Mbowe na Lisu ni enemy mliobaki ni tools za wasiasa kufikia malengo yao.
Siyo kweli. Mbowe akifanikiwa kuleta uhuru wa kweli wanufaika ni wananchi wote.
Hata Nyerere na wenzake walipopambania uhuru wa kisiasa wanufaika hawakuwa wao tu
 
Back
Top Bottom