Inaumiza sana tena sana kwa wanadamu walioumbwa kwa mfano wa Mwenyezi MUNGU kutenda dhambi ambazo zinamshangaza mpaka shetani.
Uume uliumbwa kwa ajili ya kuingizwa kwenye uke kupitisha manii ambayo hutumika kurutubisha yai la mwanamke.
Unapohalalisha mwanadamu aingize uume wake sehemu ya nyuma hii si tu kumuudhi Mungu Bali ni kufuru.
Mungu ameruhusu tujaribiwe kidogo tu Dunia imechanganyikiwa tujisahihisheni
Dhambi za wazungu zitaiangamiza Dunia.