kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #41
Duuh ule nao ni mzigo alipo waambia wameleta choo chumbani!Alimkimbiaa Lowasa hasa zile tuhuma ilikuwa ngumu kwake kulamba matapishi yake. Anafaa apokelewe maana ile list of shame ilikuwa ngumu kwake.