Pre GE2025 Ni wakati sahihi Dkt. Slaa kutuambia nani alimpiga risasi Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alimkimbiaa Lowasa hasa zile tuhuma ilikuwa ngumu kwake kulamba matapishi yake. Anafaa apokelewe maana ile list of shame ilikuwa ngumu kwake.
Duuh ule nao ni mzigo alipo waambia wameleta choo chumbani!
 
wakati mnamweka ndani mlifikiri mnamkomoa kumbe ndio mnamrudisha kwenye siasa, sasa hivi ni tumbo joto.
 
Badala mtulie mjenge Chama kujiandaa na uchaguzi mnataka kuanzisha choko choko

Basi pia Dk Slaa atuambie Mbowe na Lisu walimuuzia Lowasa shilingi ngapi Ile nafasi ya kugombea uraisi
 
H
Nilimdharau sana huyu mzee. Wakati wenzao wanapitia kikombe cha mateso, mauaji vifungo na kufilisiwa yeye alikuwa ubalozini akishiba na kutoa kejeli. Hata kama ni kusamehe, sio.
Hata sasa wasikurupuke kumwamini bado yuko kazini huyo!
 
na wewe ukaamini kuwa chadema ndo walitaka kumuua lisu🤣🤣
 
Badala mtulie mjenge Chama kujiandaa na uchaguzi mnataka kuanzisha choko choko

Basi pia Dk Slaa atuambie Mbowe na Lisu walimuuzia Lowasa shilingi ngapi Ile nafasi ya kugombea uraisi
Waliuza bilioni kumi!
 
Slaa alikua katibu mkuu anazo siri nyingi anawajua wema na wabaya ndani ya chadema!
hapo chadema hakuna mwenye ujanja ule.kupata nissan patrol na bunduki na risasi zake sio jambo dogo.kiufupi mzee slaa alita mkayale akiwa kavimbiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…