Ni wakati sahihi kwa Iran kuwaokoa Wapalestina ambao sasa shule, hospitali na misikiti sio salama tena kukimbilia

Nikikumbuka kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein alivyokufa kikatili Karbala nalia sana.

Kipenzi chetu cha dhati Imaam alikana nafsi yake kuutetea, kuupigania na kuulinda uislamu. Kupitia yeye tumepewa Tawfiq/Tawfeek ( the ability and opportunity to succeed) na tuna uhakika wa Jannah na Firdaus.

Allah amjalie kheri za dunia na Akhera. Na azidi kumfanyia wepes aendelee kummiminia Qauli Thabeet za kutosha kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali A.S
 
Mnawaponza we zenu😁😂
 
Oya tafuta sababu ya kifo cha rais wa marekani FDR moja ya sababu alikuwa ankataa kuanzishwa taifa la Israel.

Haiwezekani Iran aishambulie Israel then America ibaki inaangalia Hilo halitotokea
 
Ivi kwann Mungu anaruhusu haya yatokee,tufanye kweli wapalestina wanaonewa kwann hawaokoi kwa namna yoyote?!!
 
Ay
Ayatollah inabidi atulize hasira.
Maisha yake mwenyewe yanaweza kuwa hatarini.
Pia uchumi wa Iran unaweza ukayumba sana baada ya kakosa kodogo tu kwa yeye kumpiga myahudi. Big bro USA yupo anangojea tu apate kisingizio cha kumshughulikia mu-Iran.
 
Iran mwenyewe kashindwa kujitetea
 
Unamzungumzia huyo mtume wa Majini sio....!
Aliye tumwa na Majini.
Anaye endelea kuwatia ujinga.
Mtaendelea kufa kwa ujinga wenu
 
Mateka mushawaachia? Hizo picha za watoto wanawapaka Damu usoni wanazoweka kila siku now wamezichoka wenyewe wameanza kuwapaka watoto mavumbi hahaha
 
Vipi
Jihadi imeshindwa ?
Ile ya Hakuna Mungu ila Allah.
 
Mkuu inaonekana unaijua iran kuliko wairan wenyewe.
Nikuulize,vita kati ya iran na iraq ilichukua miaka mingapi na ni nani alishinda?
Jumulisha vita kati ya iraq na USA nani alishinda?
angalau kuanzia hapo utajua marekani ni nani duniani
 
Yeye mwenyewe anaitaji kuokolewa[emoji1787]
 
Wewe una kichaa, yani Iran aharibu nchi yake kisa Palestina? Netanyahu aliposema Gaza itakuwa mahame hakuwa anatania. Wako wapi Hamas walioimbwa kuwa ni wapiganaji hodari? Iran anawapanga tu pale hatiii mguu. Israel anavyopiga kila mahali kuanzia Gaza, Syria, Yemen, Lebanon ni kama kajiandaa kwa vita hasa.
 
Labda ampige hapa JF.
 
Mkuu inaonekana unaijua iran kuliko wairan wenyewe.
Nikuulize,vita kati ya iran na iraq ilichukua miaka mingapi na ni nani alishinda?
Jumulisha vita kati ya iraq na USA nani alishinda?
angalau kuanzia hapo utajua marekani ni nani duniani
Wacha nikueleze nautumie akili sasa vita vya Iraq na Iran hakuna aliye shinda lakini Iraq alisaidiwa na nchi za kiarabu karibu zote isipokuwa Syria na badhi ya nchi za kiarabu.

Nchi zilizo msaidia Iraq wazi wazi kabisa ni zote GCC countries isipokuwa Oman tu. Saud Arabia, Kuwait, Qatar, UAE, Baharain na upande wa nchi za kiarabu Egypt, Jordan, Morocco. Wengine nyuma ya pazia+ USA, UK, France pia hao walimsaidia Iraq. Afu Iraq ndio alianza vita na ndiye aliye kuwa anaomba vita visimame.

Kuhusu vita vya Iraq na USA alikusanya mataifa 46 ilikumpiga Iraq afu wakampiga sunction miaka, afu wakavunja silaha kwa kutumia UN resolution bada ya kuona wamevunja silaha zote ndio US akanzisha vita vya pili na Iraq tena hakwenda peke yake alienda na mataifa haya Ukraine, UK, Australia, South Korea, Norway, Netherlands na etc.

Plus General wao anaitwa Mad Dog alikiri wazi kuwa waliwahonga badhi ya askari wa Iraq haswa wale maofficers ili wapite kiulaini, pia walituamia tactical nuclear weapons.

USA ni Super Power wa vitisho tu kama mlivyo mkuza Israel, huoni USA kaja kulilinda taifa analo lisifia ni super power wa mchongo 😄
 
Aliyeimbwa kuwa ni shujaa ni Israel ambaye ameshindwa kufikia malengo yake ya vita kwa karibu mwaka sasa.
Hamas inajulikana ni watu shujaa ambao hawana lolote jengine mbele ya Israel na Marekani.
 
Ikumbukwe kwamba kusaidiwa nayo ni mbinu ya kimaisha,ikionesha unavyoishi vizuri na majirani zako,
ukiona umepatwa na janga lolote usipate mtu wa kukukimbilia basi jiulize mara mbili,
Na ukiona hivyo basi tambua wewe ni mbaya katika jamii unayoishi.
 
Wakati wa vita kuna shule zinasomesha au magaidi wanajifichiamo.. wapuuzi wanapiga kelele eti Israel wamelipua shule.. wakti kuna silaha eneo hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…