Kuna dogo nilimuona ni TISS tulisoma nae secondary afu alikua kilaza nilishangaa kusikia TISS sema baba yake ni kanali nkasema kazi ipoHii nchi hakuna mwenye uchungu nayo kila mtu anatizama maslahi yake hao TISS vimeo tu hakuna kitu.
Haya yatafanyika tu siku moja mtoto wa kiongozi yeyoye akikumbwa na kadhia hii....Kwa hshima na taadhima, Mh. Rais Samia kujivua uhusika a serikali yako na kifo hiki na utekaji unaoendelea wafute kazi/watimue DGIS na IGP na Awadhi! Utakuwa umejivua uhusika wa hili na yote ya utekaji!
Utakuwa umebadili dhana iliyokwisha jengeka kuwa haya yana baraka zako!
Soma Pia: Rais Samia aagiza uchunguzi wa Kifo cha Ali Mohamed Kibao
Apumzike kwa amani
Wote wapo ndani ya kikapu kimoja. Mpaka watakapokamatwa wahusika na kuchukuliwa hatua, masikitiko hayo ni ya kinafikiRais Samia masikitiko yako juu ya kifo cha Ally Kibao yalipaswa kuambatana na kuwatimua kazi haraka CDF na IGP kisha baadaye ungewatimua waziri wa ulinzi, waziri wa mambo ya ndani na kumaliza na RPC wa Dar na Pwani.
Maana yake Tanzania iko katika uvamizi wa kivita au ujambazi mkubwa unaofanywa na watu wenye uwezo wa kivita (kijeshi).
Kama hutawatimua kazi hao niliowataja maana yake unaafiki kuwa watekaji na wauaji wako ndani ya serikali yako.
Swali jingine: Je, wanafanya kwa baraka zako au wako na mission yao nyingine ambayo wewe huijui?