Ni wakati sahihi wa Kingai kurejesha fedha walizompora Adam na wenzake

Mbowe ameshinda na sasa ni wakati sahihi kabisa wa Kingai na genge lake kurejesha fedha walizompora Adam na wenzake pale Rau Moshi.

Waanze kujichanga faster then tutawashtaki as individuals
Hivi kashinda au kaombewa msamaha
 
Mbowe ameshinda na sasa ni wakati sahihi kabisa wa Kingai na genge lake kurejesha fedha walizompora Adam na wenzake pale Rau Moshi.

Waanze kujichanga faster then tutawashtaki as individuals
Warudishe na bastora ya watu
 
Kingai na kina Mahita ni majambazi tu kama yale menzao yaliyomuua yule kijana Mtwara
 
Back
Top Bottom