Kwanini usipewe wewe mkata uzi?Sioni ikishindikana
Na ndcho watakachofanya hawa wahuni baada ya kuvuka hii 29th October, wakivuka hicho kiwazo itaku ni kufanya IGP wao, CDF wao na kufanya reform ya Jeshi wajae watu wao, I mean their "kind". That is their last chance left!Sioni ikishindikana
Sio uhuni, huu ni muungano upo tangu 1964 ulioasisiwa na Baba wa taifa.Na ndcho watakachofanya hawa wahuni baada ya kuvuka hii 29th October, wakivuka hicho kiwazo itaku ni kufanya IGP wao, CDF wao na kufanya reform ya Jeshi wajae watu wao, I mean their "kind". That is their last chance left!
Mkuu unataka kuongopa. Mabeyo alipandishwa vyeo vipi kwa haraka?Labda tuwapandishe vyeo kwa fujo ili wafikie hatua ya uteuzi kama ngosha alivyofanya kwa home boy wake
Matacall ya mamako tena cumer weweSioni ikishindikana kwa afya ya muungano kuwepo CDF au IGP kutoka Zanzibar.
Kwani hili nalo ni la muungano huu wa ccm?Sioni ikishindikana kwa afya ya muungano kuwepo CDF au IGP kutoka Zanzibar.
utasababisha lisu asipate nafasi maana atarekebisha muungano kama si kuuvunja kabisaNyinyi Wazanzibari mnachokitafuta mtakipata tu muda si mrefu. Lissu akiingia madarakani hatokuja kuvumilia huu upumbavu wenu. Nina uhakika na jambo hili.
Lissu hawezi kuurekebisha huu muungano. Na badala yake atafuata tu matakwa ya wananchi wengi wa nchi zote mbili, ambao hawautaki!utasababisha lisu asipate nafasi maana atarekebisha muungano kama si kuuvunja kabisa
Na wanajeshi waliopo watakubari tu itokee hivyo yaan wanakubari km magasho vile tu yaan eeh au sio?Na ndcho watakachofanya hawa wahuni baada ya kuvuka hii 29th October, wakivuka hicho kiwazo itaku ni kufanya IGP wao, CDF wao na kufanya reform ya Jeshi wajae watu wao, I mean their "kind". That is their last chance left!
Naunga mkono hoja Thread 'Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?' Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?Sioni ikishindikana kwa afya ya muungano kuwepo CDF au IGP kutoka Zanzibar.
Acha bla bla pinga kwa hojaMkuu unataka kuongopa. Mabeyo alipandishwa vyeo vipi kwa haraka?
akikujibu nistueAfande mzanzibar juzi ulijificha kwa kivuli cha kutaka kujua "route" za maandamano leo umejipiga own goal.
Unataka IGP mzanzibar ilhali mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi hata miguu miwili kule Zanzibar?
Wazanzibar ni RC, AG, DC wakati kule Zanzibar hamkubali mtanganyika awe hata kiongozi wa shehia[kata].