MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Ni wakati sasa Afrika ichangamkie mafuta na gesi ,mgogoro ukiisha ukrain watakuwa na stock yakutosha
Akiba ya mafuta Marekani iliyofichwa kwenye mapango ya chini
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Zaidi ya mitungi milioni 640 ya mafuta hivi sasa imefichwa katika mapango ya chini huko Texas na Louisiana