Ni wakati sasa Afrika ichangamkie mafuta na gesi, mgogoro ukiisha watakuwa na stock ya kutosha

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Ni wakati sasa Afrika ichangamkie mafuta na gesi ,mgogoro ukiisha ukrain watakuwa na stock yakutosha

Akiba ya mafuta Marekani iliyofichwa kwenye mapango ya chini




CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Zaidi ya mitungi milioni 640 ya mafuta hivi sasa imefichwa katika mapango ya chini huko Texas na Louisiana

 
daaaa all are shithole countries 🤣
Kama tunajisifia kujenga madarasa kwa pesa za UVIKO, hizo hela za mafuta ya akiba labda tuiuze nchi yetu kama alivyotustua Bob Nduugay...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…