Ni wakati sasa JWTZ ifanye manuva kama ya Marekani kwa Mange Kimambi

Mafwele tu kawaweka wenzao lockup na anajitamba kabisa kwamba hawana maisha, lakini wameshindwa kufanya chochote
 
Kupata vichekesho vingine kama hivi nibonyeze namba ngapi, mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Raia wa marekani ukamchukue kama kuku eti? Basi kilichotokea kwa maduro kitatokea kwa huyo mama yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…