Chakamwata kilikuja na mkakati wa 1% wakapigwa vita vya hila na CWT na mamlaka nyingine ngazi za mikoa na wilaya. Tuliojiunga tukatumiwa barua kuwa tumesitishwa kujiunga kwani chama hicho hakitambuliki ! Kisa ni ili cwt na wanufaika waendelee kutupora 2% ya mishahara yetu. Hawana huruma Wala msaada kwa walimu !Tayari lile jambo letu limekuwa 23.3%
Kama tujuavyo mshahara unavyopanda na Makato,
Kodi, bima, n.k nayo yanapanda.
Kwakuwa CWT inajiweza na Ina wanachama wengi (pengine kuliko Chama chochote Cha wafanyakazi) hapa nchini,
Basi nao wapunguze asilimia 1.5
Ibaki 0.5%
Ili kusudi nyongeza hii imsaidie mwalimu Moja kwa moja..
NB CWT wakikataa walazimishwe