Ni wakati sasa kwa Tanzania kuanzishwa kwa "Tanzania mortgage bank" kama nchi nyingine

Ni wakati sasa kwa Tanzania kuanzishwa kwa "Tanzania mortgage bank" kama nchi nyingine

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
It's advantage mikopo yake hutolewa haraka sana baada ya bank kujirizisha na thamani ya asset iliyopo na actually value it has,
It's loan are very fast even good for businessmen.
 
Attachments

  • FB_IMG_16556435759319211.jpg
    FB_IMG_16556435759319211.jpg
    12.1 KB · Views: 12
tupe ufafanuzi kidogo kuhusiana na unachosema maana hata mabenki ya kawaida hufanya hivyo pale wanapojiridhisha na mali yako isiyohamishika na unaimiliki kihalali
 
Jambo jema sana..sema kwa hii nchi ya walamba asali 10% zitahusika sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
tupe ufafanuzi kidogo kuhusiana na unachosema maana hata mabenki ya kawaida hufanya hivyo pale wanapojiridhisha na mali yako isiyohamishika na unaimiliki kihalali
Mortgage bank haziitaji records zako za kibiashara hazihitaji maneno mengi zinatathimini asset yako kama inathamani ya 100ml.,inaweza kukupa haraka 25ml.with no much questions, ikijua kabisa inaweza kuiuza haraka sana once you breach contracts.
::Faida yake ni haina maswali na mlolongo wa kutesana unproject yako unaiamini kwa 100%,you just go there and get money quickly with no delays.
Disadvantage:- it's is merciless bank types once you breach
 
Back
Top Bottom