HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Kwani watu wamekuwa wanyama hada viongozi wa kiafrika wanaojilimbikizia mali na kujikita kwenye ufisadi mkubwa hivyo ni vyema Mungu akawezesha viongozi wa kiafrika au utajiri wa mwafrika usizodi bilioni 2 ikizidi hapo basi uwe ni ugonjwa na aafe tu.
Nasema hivyo kwani roho mbaya zinawaandama viongozi wa kiafrika kwa kutojali wananchi wao wanaowapigia kura bali kujali familia zao.
Iwe marufuku kwa waafrika kumiliki zaidi ya bilioni mbili akizidisha afe tu kwani hawana faida na msaada kwa wenzao wanaowazunguka