Ni wakati sasa Serikali ianzishe sheria na elimu kuzuia kutupa taka hovyo

Ni wakati sasa Serikali ianzishe sheria na elimu kuzuia kutupa taka hovyo

Livingson1

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
30
Reaction score
26
Utupaji wa taka hovyo ni changamoto za utunzaji wa mazingira, Serikali na wadau mbali mbali wanaweza kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira.

Kuanzisha sheria itakayopinga utupaji wa taka hovyo, Kutengeneza dustbin kubwa na kuziweka kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu kisha zikijaa kuondokewa na kutupwa sehemu sahihi.

  • Hii itasaidia kupunguza magonjwa .
  • Kutunza mazingira yetu, kuishi _kwenye mazingira safi na salama,
  • Kutunza uoto wa asili,
  • Hali ya hewa nzuri kwaajili yetu sisi na kizazi kijacho,

Ni muda sasa serikali kuliangalia hili kwa jicho la pili mitaa yetu bado ina uchafu sana, japokuwa pia naipongeza serikali kwa kupunguza vifungashio vya plastic

Bado kuna uchafu upo kwenye mitaa huu unasababisha hata chamber kuziba, magonjwa, mafuriko kipindi cha mvua, kwa ujumla hii huweza kuoelekea hata vifo
 
Usafi ni tabia,naunga mkono hoja ya itolewe elimu,tena elimu hii ianzie kwa watoto huko mashuleni.
 
Back
Top Bottom