Ni wakati sasa Serikali kupiga marufuku club ya Yanga kutumia uwanja wa Mkapa,inadhalilisha nchi

Ni wakati sasa Serikali kupiga marufuku club ya Yanga kutumia uwanja wa Mkapa,inadhalilisha nchi

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu.

Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
 
Kichwa cha familia iko kinatoa mawazo.
 
Afu kule Tunis lazima wafanyiwe ya ajabu
 
Ikiwezekana wapigwe marufuku hata kushiriki michuano ya kimataifa mkuu huu sasa ni uhuni
Kama viongozi wana hekima bora wajitoe tu
 
Back
Top Bottom