Ni wakati sasa serikali waweke barabara nne kwenye daraja la Mkaramo mlandizi

Ni wakati sasa serikali waweke barabara nne kwenye daraja la Mkaramo mlandizi

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Hili eneo limekua kero, na limeua watu wengi sana ndugu zangu, kwa mfano leo hii yenyewe ni foleni kubwa sana.

Serikali fanyeni jambo,
 
Back
Top Bottom