Ni wakati Sasa Utumishi waweke hadharani matokeo ya Oral Kama ya written kwa namba za wasailiwa ili kuepusha mianya ya Rushwa na Janja janja

Ni wakati Sasa Utumishi waweke hadharani matokeo ya Oral Kama ya written kwa namba za wasailiwa ili kuepusha mianya ya Rushwa na Janja janja

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Ni pongeze Utumishi wa umma Kwa hatua zote za uboreshaji wa Mifumo yao ya usaili na taratibu za kuajiri kwa ujumla

Lakini naona ni muda muafuka Sasa kuweka matokea ya Oral hadharani ili kuondoa mianya ya Rushwa na Janja janja Kama wanavyofanya kwa written
 
Walau waweke motokea hadharani ya Oral ili ijulikane waliofaulu
 
Haluna siku naingia online niache kukutana na threads ya mambo ya ajira sijui utumishi., interviews na mitikasi yake,, ! Mungu atuinue na atupe faraja
 
Ni pongeze Utumishi wa umma Kwa hatua zote za uboreshaji wa Mifumo yao ya usaili na taratibu za kuajiri kwa ujumla

Lakini naona ni muda muafuka Sasa kuweka matokea ya Oral hadharani ili kuondoa mianya ya Rushwa na Janja janja Kama wanavyofanya kwa written
Law School of Tanzania wao hata maksi aliyopata mwanafunzi hawaweki. Wewe jua tu umepata F au B ila ni maksi ngapi, hujui. Ukiuliza, utajibiwa kuwa, "wewe ukijua umepata maksi ngapi itakusaidia nini?"
 
Hao utumishi mpaka siku watu waandamane kwenda kuwashenyenta huko maofisi ndiyo wataanza kuelewa kuwa wasaka ajira hasira zimefikia mahala pabaya sana..
 
I assure you this time around ajira zitakua za haki kwa aliyestahili, just keep calm soon watarelease taarifa kwenye akaunti zenu mliochaguliwa kwani majina yalishahakikiwa. Hazipiti wiki 2 counting from today
 
Naunga mkono matokeo ya oral kuwekwa wazi kama ilivyo kwa written/practical interview Ila bado haiwezi kuondoa rushwa.
 
Back
Top Bottom