Law School of Tanzania wao hata maksi aliyopata mwanafunzi hawaweki. Wewe jua tu umepata F au B ila ni maksi ngapi, hujui. Ukiuliza, utajibiwa kuwa, "wewe ukijua umepata maksi ngapi itakusaidia nini?"
Hao utumishi mpaka siku watu waandamane kwenda kuwashenyenta huko maofisi ndiyo wataanza kuelewa kuwa wasaka ajira hasira zimefikia mahala pabaya sana..
I assure you this time around ajira zitakua za haki kwa aliyestahili, just keep calm soon watarelease taarifa kwenye akaunti zenu mliochaguliwa kwani majina yalishahakikiwa. Hazipiti wiki 2 counting from today