Ni wakati sasa wa kufanyia close monitoring muziki wa singeli

Ni wakati sasa wa kufanyia close monitoring muziki wa singeli

"Jamani JICHO langu limeingia KIBANZI CHA KUNI"[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445] Snura
 
Yaani mtu unakaa kabisa kufuatilia nyimbo za singeli....
 
Basata kuna double standards za wazi wazi halafu hawa hawa walisema msanii kabla ya kurekodi audio apeleke mashairi yakahakikiwe na baraza, na akitoa video kabla ya kuisambaza aipeleke kwanza kwao waihakiki lakini bado tumashahidi wa audio na video chafu kila kukicha. Ninahisi rushwa imetamalaki pale
 
Nilidhan utaongelea wale wanawake wao duuuh huangalii na watoto.ipelekwe Olympic walau tupate medal
 
Back
Top Bottom