Ni wakati sasa wa kumuangukia Ridhiwan Kikwete na kumfikiria kwenye nafasi za juu hapo baadaye?

Ngoja niishie hapa niwe mtazamaji wa comment
 
Huwa hawatosheko hawa sababu ya tamaa!! Huoni baba yake ingawa ana majumba Msoga, Dodoma,Bagamoyo. Dar es salaam bado akatukamua walipa kodi tumjegee nyumba nyingine kwa vile walijiwekea kuwa wajengewe wakistaafu!! Ni uroho tu hawatosheki!
Mzee ashaakua waziri 88 to 2005
Rais 05 mpaka 15 Hadi leo familia haijatosheka na pesa, mke Ni mbunge mtoto Ni mbunge.
Si wawaachie na wengine, mnakaba Hadi Kona?
 
Nenda kasalimie msoga
 
Hawatosheki hawa na bado wanataka wawarishishe wajukuu zao hata kama wana vichwa vya nazi!!!
Baba zao walikuwa wakuu wa kaya na sasa ni '' haki zao'' hawa watoto wa wafalme kuwa wafalme wa kaya, mchezo ulianza na baba shangazi, umekuja kwa ruksa na sasa utakuja kwa prince wetu, hawa hawatosheki! tukiwachekea na kuwadekeza hadi vitukuu vyao vitakuja kutawala vituu vyetu.
 
Tatizo tukiaminiwa tunaharibu sana chief
 
Walimtaja kwa sababu zipi?
 
Mimi nichadema ila mwamba katulia sana,Hana ushamba ushamba kabisa
 
Utendaji wake wa Kaz ndio utakao muinua na umma kumuona anafaa na s kuongea kwenye mitandao uonekane unafanya kazi

Mfano Kuna Prof sospeter muhongo na Dr dalali kafumu Hawa watu hawakuwah kuwa wanasiasa kabla ila utendaj wao uliotukuka ukamfanya Rais kikwete avutiwe nao na kuwapa ubunge na uwazir

Watanzania yujifunze kuchapa kazi kwa bidii tutaonekana tu
 
Nadhani hakuna mbunge yoyote anayefanya ziara kwenye jimbo Lake kama huyu jamaa,
Hawa walioisingizia familia ya Kikwete imeuza gesi kwa mchina nao watafutwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…