Ni wakati sasa wa kumuangukia Ridhiwan Kikwete na kumfikiria kwenye nafasi za juu hapo baadaye?

Tatizo uwezo wanao
duuuu!

unataka kutuambia, ukubwa wote wa chama A, watu wenye uwezo ni hawa wawil tuu mnao wataja hapa {RK na JM} kweli kabisa yani?

hakuna watu wengine?

na kwanini iwe wao tuu, watoto wa wafalme waliopita?

kiukweli,
hawana uwezo hata kidogo hao watu,
kinacho waweka pale,
ni ile Big Back hand inayo washikilia wasianguke..

Chama A
 
sasa si ukambinulie tu?

pumbavu
 
CCM tunawatu wazuri wengi sana ila kwa yaliyotokea kuna watu wamekuwa na kigugumizi wanasema heri zimwi likujualo wewe unaonaje ni mawazo yao tu,
 

[emoji23][emoji23]
 
Kwa lipi? aendelee kuwa mbunge wa chelinze tu kweingine hafai hata kdg, atakuja kutuingiza ktk mikataba ya hovyo kama baba yake.
 
Ridhiwan Hana hata Sifa ya Kuwa Mtendaji wa Kitongoji.
Ni Kubebwa bebwa Tu na Ghiliba za Siasa za CCM
 
Kwani Zanzibar anaongoza nani?
Hoja yangu ni Uzushi na uongo kwa familia ya Mzee Kikwete,

Mambo ya ama Ridhiwani anafaa au hafai ni ya Watanzania wenyewe kulingana na hitaji la wakati huo,
 
Kwa mjibu wa Katiba yetu ya Sasa hakuna lisilowezekana! Anaweza kuwa Rais bila shaka yo yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…