Ni wakati sasa wa kumuangukia Ridhiwan Kikwete na kumfikiria kwenye nafasi za juu hapo baadaye?

Acha ujinga wako, kama hujui uliza usaidiwe.
Pale kuna visima vingi na vilivyopewa wachina vipo na vingine bado ni miliki ya serikari
Kwa hiyo hao watu wa shell watapewa visima ambavyo bado ni miliki ya serikali.
Swala la kijana wa kikwete kupewa nafasi ya juu wewe unapata faida gani?

Kama unaona anafaa kuwa kuongozi
Basi mpe nafasi aiongoze familia yako ili ulizike kama unaona ubunge sio saizi yake.

Tunataka watu wa kusaidia nchi na sio watu kupewa fadhila,

Na kwa nini usitafute ndugu yako umuombee nafasi kuliko huyo mtoto wa raisi ambaye hana shida ya maisha?
 
Ko kikundi cha watu na smartphone senu mmeona muanzishe uzi kumsifia boss wenu
 
CCM tunawatu wazuri wengi sana ila kwa yaliyotokea kuna watu wamekuwa na kigugumizi wanasema heri zimwi likujualo wewe unaonaje ni mawazo yao tu,
.
mimi Bado naamini, kuna watu wazuri wengi tuu,
ukiacha hao Ma-prince wanao tajwa tajwa,s
napia sio kila zimwi lisilo kujua basi laweza kua kama lile lililo tula tukakwisha mkuu..
.
.
 
Hiyo gesi iko kitalu gani? Acha kulishwa maneno mabaya mkuu
 
Hiyo gesi iko kitalu gani? Acha kulishwa maneno mabaya mkuu
Wewe unajua vitaru au visima vilikua vingapi walivyochoronga na vinavyofanya kazi ni vingapi au unashabikia bila kujua.
Fanya utafiti utajua kama hujui.
 
Wewe unajua vitaru au visima vilikua vingapi walivyochoronga na vinavyofanya kazi ni vingapi au unashabikia bila kujua.
Fanya utafiti utajua kama hujui.
Nitarudi, Ripoti zote ziko TPDC hakuna hayo unayoongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…