Ni wakati sasa wa kumuangukia Ridhiwan Kikwete na kumfikiria kwenye nafasi za juu hapo baadaye?

Ridhiwani Huyo ni mdini hawezi kubeba unga dini imemkaa kichwani case ya unga alisingiziwa aliekamatwa sio Ridhiwani ni Mdogo wake Miraji
 
Bila kujalisha lolote nadhani tusijikite kuipeleka nchi yetu kwenye utawala wa kisultani...
Yaan mtoa,mada ,anaona Ridhiwan Kikwete,January Makamba ndio wanafaa kuwa viongozi.Yaan Tanzania ni ukoo wa Kikwete ,Makamba basi.Yaan vijana mageneous waliopo mitaani hawafai kabisa.Tunataka katiba mpya
 
Mbona mambo ya Nchi yanakupita unafanya ushabiki bila kufahamu uliloandika hapa. Anza kuchunguza kwanza baadaye uandike usikurupuke kuandika bila kufanya uchunguzi

Kuna utofauti kati ya Mkoa wa LINDI na Mtwara
Gas ya Mtwara imeuzwa inaelekea Bagamoyo pale pale Mchina anapotaka kujenga Bandari

Rais Samia anazungumzia Gas ya LINDI ambayo Bado kuanza kuchimbwa,hawajakubaliana na wawekezaji mazungumzo yanaendelea

Huyo Ridhiwani alikuwa anajifanya mbabe kipindi cha baba yake . Maisha yanapita
 
Yaan mtoa,mada ,anaona Ridhiwan Kikwete,January Makamba ndio wanafaa kuwa viongozi.Yaan Tanzania ni ukoo wa Kikwete ,Makamba basi.Yaan vijana mageneous waliopo mitaani hawafai kabisa.Tunataka katiba mpya
Yaani kama Zanzibar ya Karume na Mwinyi...
 
Kuna watu wapuuzi sana, hivi nchi hii ina watu wengi sana.
 

Jabali la Siasa,​


Baada ya kusoma article yako yote nimeshindwa kuona ni kwa sababu gani hata tumuangukie ridhwani kikwete. Hujatoa ushahidi wowote ule kuwa hakukamatwa na madawa ya kulevya nchini china, ulichosema ni kuwa deal iliyoripotiwa aliyofanya baba yake kuokoa maisha yake sio kweli lakini umeshindwa kusema kabisa kuwa kikwete hakufanya deal na wachina ili kumuokoa mwanawe.

Nadhani kabla ya kutaka watu wamuangukie ridhwani ningelikushauri ufanye research kidogo, ingelikuwa vyema ungelifanya uchunguzi wa kina nchini china kujua kama kweli alikamatwa au la. Pia ingelikuwa vyema kama ungelipata comment pamoja na ushahidi kutoka kwa makonda juu ya tuhuma alizomrushia ridhwani. Ungelikusanya statement yake na wale waliompa details zote halafu ukaziweka hapa na kuzikana moja baada ya moja.

Ushahidi wako kwa sasa hautufanyi wengi kufika kumuomba radhi ridhwani, na bado lisemwalo lipo juu yake bado lipo pale pale.
 
Uzuri wa JK na familia yake ni watu wa tabasamu tuu
 
Bwege kwelikweli wewe
 
Huwa hawatosheko hawa sababu ya tamaa!! Huoni baba yake ingawa ana majumba Msoga, Dodoma,Bagamoyo. Dar es salaam bado akatukamua walipa kodi tumjegee nyumba nyingine kwa vile walijiwekea kuwa wajengewe wakistaafu!! Ni uroho tu hawatosheki!
Mpaka wanauwana[emoji23]
 
Unaeza kuta wewe ni mume wa mtu au mke wa mtu unasifia Sifia upumbavu....hopeless kabisa
 

Ndg yangu mtanzania in exile ,

Kwanza nakusalimu kwa jina JMT,


Hoja yangu imebezi kwenye Ushahidi wa kimazingira,

Tuliambiwa Rais Kikwete amebatter trade gesi ya Lindi ili kumnusuru mwanae, fine,

Lakini mazingira yanaoenesha gesi ya Watanzania bado ipo tena ni futi zile zile za ujazo 57.7tct,

Sawali hiyo gesi waliopewa wachina ili wasimuue Ridhiwani Kikwete ni ipi?

Au Rais Kikwete baadae aliwanyang'anya?

I stand to be correct Ridhiwani alionewa na anaonewa ni wakati wa kurudisha imani kwake na familia yake✍🏿✍🏿
 
Machadema tu haya yapuuzwe Riz ni poa sana tena mchamungu wa kweli,
 
majibu mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…