Ni wakati sasa wa kumuangukia Ridhiwan Kikwete na kumfikiria kwenye nafasi za juu hapo baadaye?

Uongo mwingine unasema eti walipewa Bandari ya Bwagamoyo! Sijui uongo upi ni wa kweli mpaka sasa?
Kuna ushahidi ghorofa zote za dar ni zake, semitrailer karibu zote ni zakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aisee kuna watu wanahisa za kuitawala tanzania.
 
Naweza kukuelewa ila muda wa kukuelewa bado haujafika.

Hilo jambo la gesi na hayo maigizo ya madawa usiyahusishe pamoja, kuna issues nyingine kabisa hapo zilisha fanyika.
Zipi hizo?,Zitaje.
 

Maelezo yako bado yameshindwa kujibu suali langu la msingi ambalo je Ridhwani alikamatwa au hakukamatwa huko china kwa kusafirisha madawa ya kulevya? Baba yake amewezaje kumuokoa na adhabu ya kifo ni suali la baadae. Hadi pale itakapotokezea ushahidi wa kuwa ridhwani hakuwani kukamatwa nchini china, watanzania wana haki ya kuendelea kuamini au kumhusisha na usafirishaji wa madawa ya kulevya, na hawapashwi ng'o kumuomba radhi.
 
Hebu wewe leta ushahidi wako ikiwa ni pamoja na Picha za mtuhumiwa,
 
Yaan mtt wa rais abebe mwenyewe dawa za kulevya na kusafirisha mwenyewe tena china πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ila jamaa ni mtulivu Sana huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…