Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kutokana na makosa mengi yaliyotokea au yaliyofanywa na makarani wa sensa juu ya uhesabuji hasa vyumba katika majumba ya watu, maana katika majumba mengi huku mitaani waweza kuta nyumba ina vyumba pengine kumi lakini vingine ni stoo, vyumba vya walinzi, vyumba vya madawa ya mifugo na pengine vyumba 3 tu ndio umeweka wapangaji.
Lengo la uzi huu ni wenyeviti na makatibu wawe na mamlaka ya kukagua nyumba baada ya nyumba ili kuthibitisha idadi kamili ya wapangaji kutenganisha na wanafamilia ambao mara nyingi huchanganyika na kuishi kama ndugu wamoja katika majumba mbalimbali hasa huku mijini.
NB: Serikali isije kukosea ikaingiza kwenye data base yao ya kwamba, nyumba fulani ina vyumba kadhaa vya wapangaji. Ikaja kuleta usumbufu huko baadae, ndiyo sababu ya kutaka wenyeviti na makatibu wao wapite kuhakiki.