Ni wakati wa Ali Kiba

Nakubaliana na wewe!
Diamond ametoa album lakini mtaani wala hakuna zile amsha amsha kama zamani hata akisema tarehe flani anachia ngoma mtaa mzima kimya!!

Hata ukisikiliza hupati ile radha tamu iliyokuwepo zamani kwenye nyimbo zake
aaah bana we,hujui kitu mkuu,Nyimbo zilizopo kweny album ya chib zinapigwa sana mtaani,labda km mtaani kwenu huko Ushetu lakin si mitaa ya Bongo Darisalama
 
Na mahitaji ya nyakati pia ni sababu mojawapo... Kila kitu huwa na ukomo wake.. Lakini kuwa na mwanamke aina ya Mobeto ambaye mamaake ana fikra za mwanae kuolewa na mzungu nalo ni janga lingine
 
Kwa mfano leo taifa kabla ya mechi kulikuwa na burudan y muzik katika nyimbo zote zilizopigwa mchana wote sijaskia ngoma hata moja ya Kiba,yan kazidiwa hata na Moni.....kwa ufupi katika event yoyote kama ni mfatiliaji huwa ngoma za Ali hazipigwi na sabab ni moja tu,hazi amshi mzuka....
 
Ila babu Mshana ukicheki nyota zao unaonaje...binafsi naona Diamond akiwa na huyu bibie kama nyota yake inafifia.
Ww unaonaje Mr.Mshana..
Na mahitaji ya nyakati pia ni sababu mojawapo... Kila kitu huwa na ukomo wake.. Lakini kuwa na mwanamke aina ya Mobeto ambaye mamaake ana fikra za mwanae kuolewa na mzungu nalo ni janga lingine
.
 
Nakubaliana na wewe!
Diamond ametoa album lakini mtaani wala hakuna zile amsha amsha kama zamani hata akisema tarehe flani anachia ngoma mtaa mzima kimya!!

Hata ukisikiliza hupati ile radha tamu iliyokuwepo zamani kwenye nyimbo zake
Mtaani ni Nyimbo za WCB ndiyo zinapigwa labda kama utaleta ushabiki tuu
 
diamond ni Kati ya wasanii wachache sana ambao naweza nikasema kwamba wana mipango..yani hata akiusitisha mziki aendelee na projects zake huyu jamaa hawezi kusota kabisa..mipango aliyoifanya yeye hata azae na wanawake mia watoto wake hawawezi wakahangaishwa na umaskini hata siku moja kama akiamua kuwasupport
 
Kama sio wa kwanza kucomment basi nahisi sio wa tatu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Umebugi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni kweli, mimi tangu nimuoe Mama Gaude nimepotea katika game kabisa .
 
Nampenda Kiba nampenda Dimond namuombea na Dimond aje amuoe Hamisa mobeto walee watoto wa Zari
 
Nampenda Kiba nampenda Dimond namuombea na Dimond aje amuoe Hamisa mobeto walee watoto wa Zari
Nijuavyo katika ndoa ya kwanza tena ya Kiislam ni ngumu sana mtu kumuoa aliyezaa nae nje ya ndoa, amini hilo.
 
Ali Kiba amewahi kuwa juu lini? Acheni kumpa sifa za kijinga huyo jamaa. Alikuwa kawaida kama wasanii wengine na wala hakuwahi utawala muziki wa Bongo fleva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…