Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
aaah bana we,hujui kitu mkuu,Nyimbo zilizopo kweny album ya chib zinapigwa sana mtaani,labda km mtaani kwenu huko Ushetu lakin si mitaa ya Bongo DarisalamaNakubaliana na wewe!
Diamond ametoa album lakini mtaani wala hakuna zile amsha amsha kama zamani hata akisema tarehe flani anachia ngoma mtaa mzima kimya!!
Hata ukisikiliza hupati ile radha tamu iliyokuwepo zamani kwenye nyimbo zake