Ni wakati wa Ali Kiba

Ni wakati wa Ali Kiba

Umeeleza vizuri sana mkuu Mshana Jr. Kuhusu Diamond nadhali lipo katika malezi alio lelewa pia anahitaji mshauri mzuri, ili aweze kusimama katika game, ukimtazama Ali Kiba malezi yake amelelewa na wazazi wote wawili ikiwa ni pamoja na kupatiwa elimu ya dini huo kwake umekuwa ni muongozo wa kujitambua katika maadili pamoja ya kuwa awali hakupata meneja sahihi wakumsimamia kazi zake ndilo lililo mpelekea kuchelewa kupata mafanikio.ila kwa sasa nadhani kampata meneja anae simamia kazi zake kwa usahihi. Diamond na Ali Kiba wote kwa pamoja tunawatakia mafanikio katika kazi zao.
Asante sana Nation steel wewe ndio wa kwanza kusoma na kuelewa kwa usahihi nilichoandika... Sehemu kubwa wamechangia kwa kufuata heading
 
Unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma ,kumbe rangi yako halisi inafahamika KIAZI KITAMU.
KIAZI KILICHO OZA pambana na hali yako. Nimeshasema jamaa ana wivu hutaki pita kule jalalani.
 
mkuuu umechemsha ..anguko la diamond ni hadi atakapo stafu jama anajituma hapendi shisha bangi kama alikiba anguko lake diamond mtaendelea kulisubiri hadi muanguke wenyewe ... mana bado anasubiriwa kuanguka toka 2011 hadi sasa anatesa..
Nisome tena nilichoandika... Sijamtabiria anguko bali nimesema tamati ya kilele cha mafanikio.....
 
Nisome tena nilichoandika... Sijamtabiria anguko bali nimesema tamati ya kilele cha mafanikio.....
Ww ni nani kujua tamati na kilele cha mafanikio yake. Au umekuwa shekh yahya aliyekuwa anatabilia watu kufa bila kujua yeye atakufa lini?
 
Hata mimi siku hizi hata nikisikia katoa wimbo sihangaiki kuutafta mpaka niusikie bahati mbaya yani ni tofauti ni kipindi cha nyuma.
Uwa nazisikia kwa mabodaboda mfano kuna wimbo unaitwa baira ndiyo nausikia mabodaboda hapa wanaupiga sana ila bado hata sijatatfuta hiyo album.
Zamani yani nilipokuwa nasikia anatoa nyimbo nahesabu masaa lazima nkausake.
Ila kuna radha naimiss ile ya ukimuona, lala salama, mawazo, nalia, my number 1 sijui ni kuzoea uimbaji wake au vipi lakini ndiyo hivyo.
Ila jamaa namkubari maana ni hustler wa ukweli
Kumbe tupo wengi!!je utanipenda?!! Hapa ndipo alipomalizia utamu,tangu nyimbo hii hizi nyingine ata sizielewi.
 
Hata mimi siku hizi hata nikisikia katoa wimbo sihangaiki kuutafta mpaka niusikie bahati mbaya yani ni tofauti ni kipindi cha nyuma.
Uwa nazisikia kwa mabodaboda mfano kuna wimbo unaitwa baira ndiyo nausikia mabodaboda hapa wanaupiga sana ila bado hata sijatatfuta hiyo album.
Zamani yani nilipokuwa nasikia anatoa nyimbo nahesabu masaa lazima nkausake.
Ila kuna radha naimiss ile ya ukimuona, lala salama, mawazo, nalia, my number 1 sijui ni kuzoea uimbaji wake au vipi lakini ndiyo hivyo.
Ila jamaa namkubari maana ni hustler wa ukweli
ukiona unaanza kupoteza radha ya nyimbo za Mond ujue unaanza kuzeeka...wanaokoteza maneno hakuna story telling..arrrg ila vijana wadogo wanampenda sana..role model wao wa kuvaa midosho
 
Ali Kiba kaona nyota ya Diamond anayitembelea imefifia, kahamia kwenye Ndoa. Anyway ila kuoa awamu hii kuongeza matatizo, bora uishi tu kama Mose Iyobo na Aunt
 
aaah bana we,hujui kitu mkuu,Nyimbo zilizopo kweny album ya chib zinapigwa sana mtaani,labda km mtaani kwenu huko Ushetu lakin si mitaa ya Bongo Darisalama
Sawa mwanadaresalama
 
Back
Top Bottom