joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma ,kumbe rangi yako halisi inafahamika KIAZI KITAMU.Bora mimi kiazi kitamu. Wewe KIAZI KILICHO OZA.
Ndio ana wivu sana jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma ,kumbe rangi yako halisi inafahamika KIAZI KITAMU.Bora mimi kiazi kitamu. Wewe KIAZI KILICHO OZA.
Ndio ana wivu sana jamaa
Asante sana Nation steel wewe ndio wa kwanza kusoma na kuelewa kwa usahihi nilichoandika... Sehemu kubwa wamechangia kwa kufuata headingUmeeleza vizuri sana mkuu Mshana Jr. Kuhusu Diamond nadhali lipo katika malezi alio lelewa pia anahitaji mshauri mzuri, ili aweze kusimama katika game, ukimtazama Ali Kiba malezi yake amelelewa na wazazi wote wawili ikiwa ni pamoja na kupatiwa elimu ya dini huo kwake umekuwa ni muongozo wa kujitambua katika maadili pamoja ya kuwa awali hakupata meneja sahihi wakumsimamia kazi zake ndilo lililo mpelekea kuchelewa kupata mafanikio.ila kwa sasa nadhani kampata meneja anae simamia kazi zake kwa usahihi. Diamond na Ali Kiba wote kwa pamoja tunawatakia mafanikio katika kazi zao.
KIAZI KILICHO OZA pambana na hali yako. Nimeshasema jamaa ana wivu hutaki pita kule jalalani.Unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma ,kumbe rangi yako halisi inafahamika KIAZI KITAMU.
Nisome tena nilichoandika... Sijamtabiria anguko bali nimesema tamati ya kilele cha mafanikio.....mkuuu umechemsha ..anguko la diamond ni hadi atakapo stafu jama anajituma hapendi shisha bangi kama alikiba anguko lake diamond mtaendelea kulisubiri hadi muanguke wenyewe ... mana bado anasubiriwa kuanguka toka 2011 hadi sasa anatesa..
Sawa KIAZI KITAMU.KIAZI KILICHO OZA pambana na hali yako. Nimeshasema jamaa ana wivu hutaki pita kule jalalani.
Adios KIAZI KILICHO OZASawa KIAZI KITAMU.
Sawa KIAZI KITAMUAdios KIAZI KILICHO OZA
Ww ni nani kujua tamati na kilele cha mafanikio yake. Au umekuwa shekh yahya aliyekuwa anatabilia watu kufa bila kujua yeye atakufa lini?Nisome tena nilichoandika... Sijamtabiria anguko bali nimesema tamati ya kilele cha mafanikio.....
[emoji119][emoji119] sikujuaMahaba na minyukano
Kumbe tupo wengi!!je utanipenda?!! Hapa ndipo alipomalizia utamu,tangu nyimbo hii hizi nyingine ata sizielewi.Hata mimi siku hizi hata nikisikia katoa wimbo sihangaiki kuutafta mpaka niusikie bahati mbaya yani ni tofauti ni kipindi cha nyuma.
Uwa nazisikia kwa mabodaboda mfano kuna wimbo unaitwa baira ndiyo nausikia mabodaboda hapa wanaupiga sana ila bado hata sijatatfuta hiyo album.
Zamani yani nilipokuwa nasikia anatoa nyimbo nahesabu masaa lazima nkausake.
Ila kuna radha naimiss ile ya ukimuona, lala salama, mawazo, nalia, my number 1 sijui ni kuzoea uimbaji wake au vipi lakini ndiyo hivyo.
Ila jamaa namkubari maana ni hustler wa ukweli
ukiona unaanza kupoteza radha ya nyimbo za Mond ujue unaanza kuzeeka...wanaokoteza maneno hakuna story telling..arrrg ila vijana wadogo wanampenda sana..role model wao wa kuvaa midoshoHata mimi siku hizi hata nikisikia katoa wimbo sihangaiki kuutafta mpaka niusikie bahati mbaya yani ni tofauti ni kipindi cha nyuma.
Uwa nazisikia kwa mabodaboda mfano kuna wimbo unaitwa baira ndiyo nausikia mabodaboda hapa wanaupiga sana ila bado hata sijatatfuta hiyo album.
Zamani yani nilipokuwa nasikia anatoa nyimbo nahesabu masaa lazima nkausake.
Ila kuna radha naimiss ile ya ukimuona, lala salama, mawazo, nalia, my number 1 sijui ni kuzoea uimbaji wake au vipi lakini ndiyo hivyo.
Ila jamaa namkubari maana ni hustler wa ukweli
hahahaaaaa
Maandalizi ya ukumbi itakapofanyika hafla ya harusi ya Kiba... Huku itakuwa ni suit kali na shella hakuna majambia View attachment 760669View attachment 760671View attachment 760672
Sawa mwanadaresalamaaaah bana we,hujui kitu mkuu,Nyimbo zilizopo kweny album ya chib zinapigwa sana mtaani,labda km mtaani kwenu huko Ushetu lakin si mitaa ya Bongo Darisalama