Ni wakati wa Ali Kiba

Asante sana Nation steel wewe ndio wa kwanza kusoma na kuelewa kwa usahihi nilichoandika... Sehemu kubwa wamechangia kwa kufuata heading
 
Unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma ,kumbe rangi yako halisi inafahamika KIAZI KITAMU.
KIAZI KILICHO OZA pambana na hali yako. Nimeshasema jamaa ana wivu hutaki pita kule jalalani.
 
mkuuu umechemsha ..anguko la diamond ni hadi atakapo stafu jama anajituma hapendi shisha bangi kama alikiba anguko lake diamond mtaendelea kulisubiri hadi muanguke wenyewe ... mana bado anasubiriwa kuanguka toka 2011 hadi sasa anatesa..
Nisome tena nilichoandika... Sijamtabiria anguko bali nimesema tamati ya kilele cha mafanikio.....
 
Nisome tena nilichoandika... Sijamtabiria anguko bali nimesema tamati ya kilele cha mafanikio.....
Ww ni nani kujua tamati na kilele cha mafanikio yake. Au umekuwa shekh yahya aliyekuwa anatabilia watu kufa bila kujua yeye atakufa lini?
 
Kumbe tupo wengi!!je utanipenda?!! Hapa ndipo alipomalizia utamu,tangu nyimbo hii hizi nyingine ata sizielewi.
 
ukiona unaanza kupoteza radha ya nyimbo za Mond ujue unaanza kuzeeka...wanaokoteza maneno hakuna story telling..arrrg ila vijana wadogo wanampenda sana..role model wao wa kuvaa midosho
 
Ali Kiba kaona nyota ya Diamond anayitembelea imefifia, kahamia kwenye Ndoa. Anyway ila kuoa awamu hii kuongeza matatizo, bora uishi tu kama Mose Iyobo na Aunt
 
aaah bana we,hujui kitu mkuu,Nyimbo zilizopo kweny album ya chib zinapigwa sana mtaani,labda km mtaani kwenu huko Ushetu lakin si mitaa ya Bongo Darisalama
Sawa mwanadaresalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…