Ni wakati wa Ali Kiba

JK mara ya mwisho kukutana nae Diamond ikulu alimwambia be careful na wanawake. Mara unakuwa na huyu mara yuke.
Alijua wekness yake. Na usia ule Diamond hakuufata bado ni kicheche hajatulia
 
Kama sio wa kwanza kucomment basi nahisi sio wa tatu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Wa tano mwana, pole. Uliutaka u kipa, kocha kakupa ubeki, ndoto zimeyeyuka
 
Marlow yuko poa zaidi ya mwanzo
 
LA KUVUNDA HALINA UBANI
HARUSI IMEISHA NA KIKI YA HARUSI IMEKWISHA
MLOKUA NA MAPENZI YA HARUSI/MAHUSIANO NA NYINYI NDO KWISHA KAZI HAPO

WACHA SASA TURUDI KWA VIJANA WETU WA WCB,WAENDELEE KUTUTOA MASTRESS YA MAISHA HAYA.

believe me kiba ni mzigo haswaaaa,yupoyupo tu na wenye chuki kwa mondi ndo kimbio lao lilipo huko. Ajabu wakifika huko wanapotea mazima,kwanzia kina wema,jokate na mafans wao plus hamisa woteee limradi tu wamtetemeshe mondi ila tatzo wajua ni nn






HUYU KIJANA NI GENIUS TUTAKE TUSITAKE,MAHUSIANO YAKE YABAKI HIVYOHVYO ATAKAVYO NA TUTARESPECT KWA MWENYEWE ATAKAVYO,SISI HATUWEZ INGILIA PROVIDE ANAENDELEA KUTOA HIT KALI FRESH.
Mwisho wa yote wasanii wakubwa mahusiano huwatesa sanaaa,hata huyo kiba watoto wa4 kila mtu na mama take.yote mahusiano hayo.kama wangekua ni mama mmoja tungesema kawaida tu,hata kanumba na wengine mahusiano yaliwatesa.
 
Nakubaliana sana na wewe.....naomba niongeze kidogo.....nadhani kwa Diamond definition ya success kwake ni pesa, vitu kama relationships na health si dhani kama anavijumuisha kwenye success. Lifestyle aliyonayo Diamond asipoangalia atajikuta anaishia kama Franco Luambo, wanawake wengiiiii na HIV
 
N uzuri kwenye mahojiano mengi anasema ANAJUA HATAKUA JUU MILELE,MUZIKI NI KITU CHA MUDA TU so anaogopa kufulia ndio maana anazingatia biashara na mpunga wake...wanaoitwa ''wadau '' hawaewez penda uwe huru..so vita yake ni kubwa mno.
Kuhusu anguko..alianza kutabiriwa 2011,miaka miwili baada ya ''mbagala'' ila hadi leo anazidi tu kuwa mkubwa.nafikiri tuache 'kumpigia ramli' Domo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…