UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,530
- 1,370
ndo unachomaanisha ila umefeli wewe dogo anatusua tuHakuna niliposema hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo unachomaanisha ila umefeli wewe dogo anatusua tuHakuna niliposema hivyo
Wa tano mwana, pole. Uliutaka u kipa, kocha kakupa ubeki, ndoto zimeyeyukaKama sio wa kwanza kucomment basi nahisi sio wa tatu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Marlow yuko poa zaidi ya mwanzoKamwe tusimdharau Diamond... Ana mafanikio kuanzia cash, umaarufu, kutoa ajira kuitangaza nchi kimuziki nknk... Amepata nafasi na akaitumia vema... Ni bahati na fursa ya kipekee sana aliyotunukiwa... Atakumbukwa na vizazi vingi..
Juu ya yote hayo kila kizuri hakikosi kasoro.... Huwezi kufanikiwa kwenye kila kitu lazima kuna mahali utafeli... Diamond kwenye mahusiano kafeli.. Na hiki ndio kinaweza kuwa kiama chake... Fimbo ngumu ya kumwadhibu!
Lakini je Diamond ni wa kulaumiwa? Ni wa kuchekwa? Ni wa kunyooshewa vidole kila kona? La hasha labda tu kama wewe ni mpenda umbea... Una roho ya kwanini... Na ni mtu mwenye husuda...
Kiroho matendo ya sasa ya Diamond kwenye mahusiano yana asili na huko alikotoka na mahusiano yake rasmi ya kwanza....
Diamond kalelewa na mzazi mmoja (mama) baba yake mzazi ni aina ya wale wazazi katili wanaojua kutundika mimba tu lakini malezi kwa mama... Hili roho linamuandama Diamond
Mpenzi wake wa kwanza kujulikana na wote Wema Sepetu ana historia karibu sawa na Diamond.... Wote hawa inawezekana kabisa kwa sehemu kubwa ya maisha yao hawakufurahia ama hawana uzoefu na malezi ya FAMILIA iliyosimama yenye baba na mama nk... Wana common sharing... Hili pia ni tatizo....
Mpaka sasa si Wema wala si Diamond hakuna mwenye ramani inayoeleweka kwenye mahusiano... Kwahiyo kwa diamond hiki ndio kinaweza kuwa TAMATI ya kilele chake cha mafanikio... Habari za...
.kutengana na mzazi mwenzake
. habari za kuzaa nje ya mahusiano
. habari za kuitwa kwenye vyombo vya usuluhishi
. habari za kufunguliwa mashtaka
. habari za kuitwa polisi...... Si mambo yanayowekwa kwenye kundi la mafanikio bali mwanzo wa anguko ama tamati ya kilele cha mafanikio
Ni wakati wa Ali Kiba sasa
Ni mmojawapo wa wasanii wenye vipaji alianza vizuri lakini kuna wakati akarudi nyuma inasemekana alikuwa Tanga.. Sijui wanawake wa Tanga walimfanya nini huko... Kidogo tumpoteze...
Waswahili wanasema kosea vyote lakini sio kuoa.. Kiba tangu arudi hewani ameendelea kufanya vizuri... Sasa kaingia kwenye ndoa. Ndoa hii iwe ni mwanzo wa mafanikio na isiwe ndio mwanzo wa kumpoteza mazima.... Yupo wapi Marlaw
Sanaa na ndoa inahitaji balance ya hali ya juu sana.. Mwenza akishakua negative... Anguko haliko mbali...
Ni wakati wa kiba sasa lakini kama tu kapata mtu sahihi mwenye akili ya kujua kuwa sanaa ya mumewe ndio bright future yao...
Kapimwe vitamini musicItakua tatizo lipo kwangu mkuu!
Kiukweli siipati ile radha niliyokua naipata zamani kwenye ngoma zake!
Nakubaliana sana na wewe.....naomba niongeze kidogo.....nadhani kwa Diamond definition ya success kwake ni pesa, vitu kama relationships na health si dhani kama anavijumuisha kwenye success. Lifestyle aliyonayo Diamond asipoangalia atajikuta anaishia kama Franco Luambo, wanawake wengiiiii na HIVKamwe tusimdharau Diamond... Ana mafanikio kuanzia cash, umaarufu, kutoa ajira kuitangaza nchi kimuziki nknk... Amepata nafasi na akaitumia vema... Ni bahati na fursa ya kipekee sana aliyotunukiwa... Atakumbukwa na vizazi vingi..
Juu ya yote hayo kila kizuri hakikosi kasoro.... Huwezi kufanikiwa kwenye kila kitu lazima kuna mahali utafeli... Diamond kwenye mahusiano kafeli.. Na hiki ndio kinaweza kuwa kiama chake... Fimbo ngumu ya kumwadhibu!
Lakini je Diamond ni wa kulaumiwa? Ni wa kuchekwa? Ni wa kunyooshewa vidole kila kona? La hasha labda tu kama wewe ni mpenda umbea... Una roho ya kwanini... Na ni mtu mwenye husuda...
Kiroho matendo ya sasa ya Diamond kwenye mahusiano yana asili na huko alikotoka na mahusiano yake rasmi ya kwanza....
Diamond kalelewa na mzazi mmoja (mama) baba yake mzazi ni aina ya wale wazazi katili wanaojua kutundika mimba tu lakini malezi kwa mama... Hili roho linamuandama Diamond
Mpenzi wake wa kwanza kujulikana na wote Wema Sepetu ana historia karibu sawa na Diamond.... Wote hawa inawezekana kabisa kwa sehemu kubwa ya maisha yao hawakufurahia ama hawana uzoefu na malezi ya FAMILIA iliyosimama yenye baba na mama nk... Wana common sharing... Hili pia ni tatizo....
Mpaka sasa si Wema wala si Diamond hakuna mwenye ramani inayoeleweka kwenye mahusiano... Kwahiyo kwa diamond hiki ndio kinaweza kuwa TAMATI ya kilele chake cha mafanikio... Habari za...
.kutengana na mzazi mwenzake
. habari za kuzaa nje ya mahusiano
. habari za kuitwa kwenye vyombo vya usuluhishi
. habari za kufunguliwa mashtaka
. habari za kuitwa polisi...... Si mambo yanayowekwa kwenye kundi la mafanikio bali mwanzo wa anguko ama tamati ya kilele cha mafanikio
Ni wakati wa Ali Kiba sasa
Ni mmojawapo wa wasanii wenye vipaji alianza vizuri lakini kuna wakati akarudi nyuma inasemekana alikuwa Tanga.. Sijui wanawake wa Tanga walimfanya nini huko... Kidogo tumpoteze...
Waswahili wanasema kosea vyote lakini sio kuoa.. Kiba tangu arudi hewani ameendelea kufanya vizuri... Sasa kaingia kwenye ndoa. Ndoa hii iwe ni mwanzo wa mafanikio na isiwe ndio mwanzo wa kumpoteza mazima.... Yupo wapi Marlaw
Sanaa na ndoa inahitaji balance ya hali ya juu sana.. Mwenza akishakua negative... Anguko haliko mbali...
Ni wakati wa kiba sasa lakini kama tu kapata mtu sahihi mwenye akili ya kujua kuwa sanaa ya mumewe ndio bright future yao...
N uzuri kwenye mahojiano mengi anasema ANAJUA HATAKUA JUU MILELE,MUZIKI NI KITU CHA MUDA TU so anaogopa kufulia ndio maana anazingatia biashara na mpunga wake...wanaoitwa ''wadau '' hawaewez penda uwe huru..so vita yake ni kubwa mno.Kila nikimtizama Diamond ana miaka kama mi3 au mi4 ya kuendelea kufanya vizuri, yy mwenyewe anajiona kama underground na ndio maana kila siku anafanya vitu vipya vikubwa,mwaka jana kaalikwa mataifa huru ya Africa mwaka huu World Cup Russia hatujui mwakani ataalikwa wapi,bado hapo ana bidhaa kibao ameziingiza sokoni na zinafanya vizuri (Wasafi label &Record,Karanga,Wasafi TV&Radio,Perfume).Msanii pekee alifanikiwa KUINTERGRATE MZIKI WAKE NA BIASHARA, na ndio maana ana beef na washikadau wengi sababu wao wanapenda kuendesha mambo KISHIKAJI (hii ndio sababu wasanii wengi wanakuwa masikini) na si KIBIASHARA kama yy anavyotaka.