Ni wakati wa Ali Kiba

Ni wakati wa Ali Kiba

Labda kwako ila jamaa yupo vizuri,ila tatizo washika dau wanataka kumshusha ila raia mtaani wanamsikiliza sana.Ujue nimekuja kugundua kuna wasani wanapata air time sana kwenye maredio na wale wanaopata airtime uswahilini,ila kwa wasanii wenye airtime kubwa hasa uswahilini ni Aslay,Diamond,Rayvany na Harmonize mpaka hivi sasa.
Mazoea pia yanachangia... Kila wakati ukisikika wewe tu inafika kipindi watu wanataka ladha tofauti... Na hili ni la kiasili sana... Binadamu hachelewi kukinai... Always anataka kitu kipya
 
Itakua tatizo lipo kwangu mkuu!
Kiukweli siipati ile radha niliyokua naipata zamani kwenye ngoma zake!
Hata mimi siku hizi hata nikisikia katoa wimbo sihangaiki kuutafta mpaka niusikie bahati mbaya yani ni tofauti ni kipindi cha nyuma.
Uwa nazisikia kwa mabodaboda mfano kuna wimbo unaitwa baira ndiyo nausikia mabodaboda hapa wanaupiga sana ila bado hata sijatatfuta hiyo album.
Zamani yani nilipokuwa nasikia anatoa nyimbo nahesabu masaa lazima nkausake.
Ila kuna radha naimiss ile ya ukimuona, lala salama, mawazo, nalia, my number 1 sijui ni kuzoea uimbaji wake au vipi lakini ndiyo hivyo.
Ila jamaa namkubari maana ni hustler wa ukweli
 
Diamond kwa sasa hatoi nyimbo kali kama zile za mara kwanza nyimbo za sasa karibu zote zinafanana, halafu Mr.Mshana unaionaje nyota ya diamond na mobeto
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama sio wa kwanza kucomment basi nahisi sio wa tatu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Hahahahaaaa mkulu umenifurahisha sana leo japo sijaenda uwanjani
 
Mazoea pia yanachangia... Kila wakati ukisikika wewe tu inafika kipindi watu wanataka ladha tofauti... Na hili ni la kiasili sana... Binadamu hachelewi kukinai... Always anataka kitu kipya
Najua hilo hamna msanii atakayewika milele,hata upewe promo kila sekunde utakaa pemebeni cha muhimu unapokuwa katika peak basi hakikisha unatumia kila nafasi effectively,akiba ya kutosha na vitega uchumi vitakavyo kusapoti ukidondoka na ndicho anachokifanya Diamond ,mimi nahisi baada ya miaka mitatu mondi na kiba wote watapotea na tutakuwa tunawaongelea wengine.
 
Hata mimi siku hizi hata nikisikia katoa wimbo sihangaiki kuutafta mpaka niusikie bahati mbaya yani ni tofauti ni kipindi cha nyuma.
Uwa nazisikia kwa mabodaboda mfano kuna wimbo unaitwa baira ndiyo nausikia mabodaboda hapa wanaupiga sana ila bado hata sijatatfuta hiyo album.
Zamani yani nilipokuwa nasikia anatoa nyimbo nahesabu masaa lazima nkausake.
Ila kuna radha naimiss ile ya ukimuona, lala salama, mawazo, nalia, my number 1 sijui ni kuzoea uimbaji wake au vipi lakini ndiyo hivyo.
Ila jamaa namkubari maana ni hustler wa ukweli
 
Diamond kwa sasa hatoi nyimbo kali kama zile za mara kwanza nyimbo za sasa karibu zote zinafanana, halafu Mr.Mshana unaionaje nyota ya diamond na mobeto
Kama Wema tu... Background ya Mobeto Wema na Mondi mwenyewe zinafanana wote kwa sehemu kubwa wamelelewa na single mothers
Kwahiyo basi yeyote atakayejaaliwa kuolewa na Mondi (lazima awe kamzidi umri) ana hitajika kuwa zaidi ya mke... Zaidi ya mama... Zaidi ya rafiki .. Zaidi ya mpenzi... Something like fatherly care..
The same applies kwa Mondi yeyote atakayemuoa na role zaidi ya mume... Zaidi ya mpenzi.. Zaidi ya rafiki.. Ana role kubwa ya kuplay kama baba
 
Najua hilo hamna msanii atakayewika milele,hata upewe promo kila sekunde utakaa pemebeni cha muhimu unapokuwa katika peak basi hakikisha unatumia kila nafasi effectively,akiba ya kutosha na vitega uchumi vitakavyo kusapoti ukidondoka na ndicho anachokifanya Diamond ,mimi nahisi baada ya miaka mitatu mondi na kiba wote watapotea na tutakuwa tunawaongelea wengine.
Mondi tayari keshavuka stage ya kutunga na kutoa miziki.. Sasa yeye yuko kwenye level ya kutakiwa kutunga wimbo kwa ajili fulani... Mfano world cup n the like
Sasa ajikite kibiashara... Aige wasanii wakubwa ulimwenguni wanafanya mziki kwa miaka kumi na ushee wanapiga hela wanabadili mtindo wa maisha wanaingia kwenye biashara na uwekezaji.. Huku kazi zao za sanaa zikiwa na haki na hatimiliki wanakula tu commission
 
Hahahahaaaa mkulu umenifurahisha sana leo japo sijaenda uwanjani
.
IMG-20180429-WA0101.jpg
 
Kama Wema tu... Background ya Mobeto Wema na Mondi mwenyewe zinafanana wote kwa sehemu kubwa wamelelewa na single mothers
Kwahiyo basi yeyote atakayejaaliwa kuolewa na Mondi (lazima awe kamzidi umri) ana hitajika kuwa zaidi ya mke... Zaidi ya mama... Zaidi ya rafiki .. Zaidi ya mpenzi... Something like fatherly care..
The same applies kwa Mondi yeyote atakayemuoa na role zaidi ya mume... Zaidi ya mpenzi.. Zaidi ya rafiki.. Ana role kubwa ya kuplay kama baba
Ila babu Mshana ukicheki nyota zao unaonaje...binafsi naona Diamond akiwa na huyu bibie kama nyota yake inafifia.
Ww unaonaje Mr.Mshana..
 
Alikiba anategemea bifu yake na domo iendelee kudumu ili na yeye apate ugali bila domo kumpa kiba kiki apo kiba awez kufanya chochote maana domo ndo anampandisha kiba kupitia kiki ya muziki.
 
Labda kwako ila jamaa yupo vizuri,ila tatizo washika dau wanataka kumshusha ila raia mtaani wanamsikiliza sana.Ujue nimekuja kugundua kuna wasani wanapata air time sana kwenye maredio na wale wanaopata airtime uswahilini,ila kwa wasanii wenye airtime kubwa hasa uswahilini ni Aslay,Diamond,Rayvany na Harmonize mpaka hivi sasa.
Unachosema ni kweli kabisa Mkuu
 
Back
Top Bottom