Ni wakati wa Bakhressa kudhamini Ligi Kuu Zanzibar

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,174
Reaction score
1,445
Bakhresa adhamini na ligi ya zanzibar, ni aibu sana kuiacha ligi hiyo wakati sehem nyingine anamwaga fedha nyingi... Hata kama anatanua soko la bidhaa zake lakini kuiacha zanzbar ambayo ni asili yake si busara
 
Akifanya hivyo atakuwa amewasaidia sana,Zanzibar wanateseka sana kwa sababu sheria zao haziruhusu makampuni ya vileo kudhamini ligi hiyo,na Azam hana makampuni ya vileo
 
bakhresa adhamini na ligi ya zanzibar, ni aibu sana kuiacha ligi hiyo wakati sehem nyingine anamwaga fedha nyingi... Hata kama anatanua soko la bidhaa zake lakini kuiacha zanzbar ambayo ni asili yake si busara

kitu cha kwanza cha bepari ni faida,uzalendo washaachiwa wanamapinduzi..
 
Biashara yoyote ile lengo kuu ni faida.
 
Bakhresa adhamini na ligi ya zanzibar, ni aibu sana kuiacha ligi hiyo wakati sehem nyingine anamwaga fedha nyingi... Hata kama anatanua soko la bidhaa zake lakini kuiacha zanzbar ambayo ni asili yake si busara

Hatuangalii uzawa tunaangalia business opportunity, uzawa tunaangalia kwenye siasa.kwanza ligi zanzibar haina mvuto hata nukta.
 
ligi ya Zanzibar itapata mvuto endapo itaoneshwa, angeanzia hapo kuitangaza.
 
Hatuangalii uzawa tunaangalia business opportunity, uzawa tunaangalia kwenye siasa.kwanza ligi zanzibar haina mvuto hata nukta.

moja ya sababu ya kutokua na mvuto ni kukosa wadhamini.. Kumbuka pia zanzbar kuna bidhaa zake, boti zake
 
Back
Top Bottom