Ni wakati wa Barcelona kumrudisha Neymar

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,604
Reaction score
3,319
Ni wazi Barcelona wameanza kupotea taratiibu katika Uefa Champions league ni miaka sita sasa sio muda utasikia ni miaka 10
Binafsi nikikumbuka Neymar alivyokuwa Barcelona ni wazi anahitajika mno kurudisha makali ya timu hasa pale Messi anapopotea
Ilionekana si kitu kumuuachia Neymar wengi wakidhani Barcelona ingeendeleza ubabe wake ulaya kama kawaida wakiwa na Messi na Suarez na baadae mbrazil Coutinho ila ni wazi pengo la Neymar linaonekana mrudisheni kijana wenu kashajifunza hatalilia tena sifa za Messi badala yake atajitahidi kumfanya Messi awe bora zaidi duniani
 
Barcelona haimwitaji Naymar tatizo la Barcelona timu yao kama gagulo linabana juu chini linaachia.Bercelona beki hawana,nimeshangaa kwa nini msimu huu Umtiti anaanzia benchi kwani beki mzuri na mwenye uzoefu.Yaliywakuta wameyataka wenyewe na ni haki yao.
 
Barcelona bhana ilikua ni Eto'o, Deko, Ronaldinho, Giuly, Xavi, Iniesta, Motta, Gudjonsohn, Bellett.
Bacelona ile iliyojengwa na Mdachi Frank Rijkaard "2003-2008" kabla Guardiola hajarithi vipaji. Achana na huyo kifaranga. Barcelona iache sasa tabia ya kutembelea nyota ya Messi na irudie zama zake za kuibua vipaji
 
Barca u-GOAT [emoji238] wa Messi ndio unawabeba tu ila pale hamna maajabu tena. Messi nae umri unamtupa mkono team inaonekana haina ile youth crop ambayo itaweza kuja kufanya vizuri miaka nane hadi kumi mbele.

Tofauti na Barca ya miaka 10 hadi 15 iliyopita ilipokua peak akina Etoo, Deco, Dinho, Puyol, Valdes, n.k walivyokua na vijana wenye future ambao tuliona walikuja kuendeleza ubabe wa Barca kama Messi, Xavi, Iniesta n.k

Sahivi hawa akina Coutinho, Semedo, Sergi Roberto, Malcom wanaonekana kabisa ni wachezaji wa kawaida sana na hawana maajabu ya kusema wataiweka Barca kwenye ramani.

Siku hizi La Masia haitoi tena wonder kids kama zamani na ndio maana utakuta wachezaji wengi wanaotegemewa kuwa future ya Barca wananunulia kutoka nje. Hao kina Dembele, Coutinho, Malcolm n.k.

Kama wasipojipanga vizuri na kununua wachezaji wakueleweka nadhani dominance yao itabakia kwenye La Liga tu ila Europe watapata tabu sana kuna team zinawachezaji wazuri sana ambao hawana majina lakini wanacheza mpira mkubwa sana.
 
Safu ya mbele ikiwa na makali ya kiwembe hata tatizo la beki huwa halionekani sasa hivi hata safu ya ulinzi ya madrid iliyokuwa inasifika ni bora chini ya Ramos inaonekana dhaifu kisa tu makali ya safu yao ya ushambuliaji kupungua

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Neymar anaskills kubwa sana ni ngumu kuwapoteza wote Messi na Neymar katika mechi na nina imani angeweza kuibeba sana timu
Kumbuka msimu wa mwisho Barca kubeba Uefa Neymar akiwa kwenye ubora wake alivyoibeba timu akiwa Top scorer na akifunga goli fainal nw kuipa Barca taji la uefa na Messi Ballon d'or

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Write your reply...barca ya sasa ni messi akikabwa messi timu aina mtu wa pili wa kuiendesha timu. kiukwel barca yamuitaji sana Neymar mnoo kwakua waliosajiriwa kuvaa viatu vyake wote vimewapwaya. kama unakumbukumbu barca ya msn Neymar ndio alikua afungua njia za mashambulizi na messi alikua ana majukumu makubwa kama aliyonayo sasa. now messi ana majukumu makubwa aiendeshe timu afungue njia za mashamuliz afungee ni majukumu makubwa sana ndio maana now ukifunga njia za messi kupata mipira basii umeiweza barca nzima. kusema kwqmba tatizoo la barcelona ni beki sio kweli ila tatizo la barcelona ni kocha kuhama kwenye mpira wake wa kumiliki mpira kwa muda mrefu na kutokua na mtu hatar wa kumsaidia messi. barca aijawahi kuwa na beki bora ila siku zote wajilinda kwa kumiliki sana mpira
 
Kama hujui pale Barca Messi ndo kocha mkuu,aliyepo ni kivuli tu.

Neymar keshaisha habari yake kabaki kuwa bondia
 
Nani kwa kwambia,timu lazima ibalance,kwa msimu wa mwaka jana safu ya ulinzi ya Liverpool ilikuwa bora kuliko zote ulaya lakini beki yao iliruhusu magoli mengi.Sasa angalia Liverpool msimu huu wamesajili beki,angali timu yao inavyoperform.
 
Nani kwa kwambia,timu lazima ibalance,kwa msimu wa mwaka jana safu ya ulinzi ya Liverpool ilikuwa bora kuliko zote ulaya lakini beki yao iliruhusu magoli mengi.Sasa angalia Liverpool msimu huu wamesajili beki,angali timu yao inavyoperform.
Kutolewa kwa barca huwezi laumu safu yq ulinzi pekee kumbuka ndio iliyowazuia wakina Salah kupata hata goli moja Camp Nou lakini kwa mtindo wa Barca wa kushinda nyumbani tu na kushindww hatw kupata goli awy ni ngumu kusonga
 
Kutolewa kwa barca huwezi laumu safu yq ulinzi pekee kumbuka ndio iliyowazuia wakina Salah kupata hata goli moja Camp Nou lakini kwa mtindo wa Barca wa kushinda nyumbani tu na kushindww hatw kupata goli awy ni ngumu kusonga
Barca tokea msimu uliopita ana hili tatizo misimu miwili kwenye robo fainali kapigwa tatu bila na AS Roma,mwaka kapigwa nne bila na Liverpool,ww huoni tatizo.
 

PSG tayari wameshachoka nae, wewe unawambia Barca wamrejeshe?
 
Upo sawa pale Messi anakosa feeders wa maana Suarez auzwe tu
 
Gagulo? Tutake radhi aisle... Umtiti ndio kwanza ana Wiki toka atoke injury ya muda mrefu game kama ile ingekua ngumu kwake
Nakubaliana nawe tulifungwa kwa uzembe tena wakujitakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…