Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Ni wazi Barcelona wameanza kupotea taratiibu katika Uefa Champions league ni miaka sita sasa sio muda utasikia ni miaka 10
Binafsi nikikumbuka Neymar alivyokuwa Barcelona ni wazi anahitajika mno kurudisha makali ya timu hasa pale Messi anapopotea
Ilionekana si kitu kumuuachia Neymar wengi wakidhani Barcelona ingeendeleza ubabe wake ulaya kama kawaida wakiwa na Messi na Suarez na baadae mbrazil Coutinho ila ni wazi pengo la Neymar linaonekana mrudisheni kijana wenu kashajifunza hatalilia tena sifa za Messi badala yake atajitahidi kumfanya Messi awe bora zaidi duniani