Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ukiacha mukimbio ambayo tulimbeza nayo jamaa ana kasi ya kufika kwenye njia na kama si kuwa kwenye kivuli cha Fiston, mzambia ana MAMBO MENGI YA KUoFFER KWA WANANCHI.
Anapenda kuassist (si mchoyo) lakini anaweza kutumika maeneo yote mbele yaani winga zote , mshambuliaji wa mwisho au mshambuliaji msaidizi.
Ameonesha anaweza pia kuconnect mipira ya kichwa. Kwa mimi ni wakati wa kuanza kumfikiria Mzize ambaye bado hajaprove.
Musonda is doubtless