Ni wakati wa kuiweka Manchester United kwenye maombi isishuke daraja msimu huu!

Ni wakati wa kuiweka Manchester United kwenye maombi isishuke daraja msimu huu!

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Man U hivi sasa sio tena Mashetani bali ni vibonde wa EPL

Goodison Park nyumbani kwa Everton tayari wamekalia chumba 2 na ni Half Time

IMG_3229.jpeg
 
Hii timu ni kuanza upya, collective mistakes za misimu mingi nyuma zinatuumbua kabisa. Badala ya kufocus na quality mgt walibase na stocks zao USA, hawazidi wachezaji wawili hapo united ambao wanaweza kuanza kwenye zile top team ulaya. Bora tukaribie kushuka daraja Ili funzo liwe kubwa. Backthree system Inahitaji watu wanaojitambua kweli kweli.
 
Man U hivi sasa sio tena Mashetani bali ni vibonde wa EPL

Goodison Park nyumbani kwa Everton tayari wamekalia chumba 2 na ni Half Time

View attachment 3245401
Haiwezekani 🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️nakataaa 🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️
 
Vijana wa sir alex ruben amorim, sisi liverpool tupo upande wenu dhidi ya arsenal
 
Back
Top Bottom