Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Tunaanzaje kuziamini taarifa zake huyu waziri na wakati kipindi tu anaingia hakukuta mkatiko katiko wa umeme, Kwa yeye ndio tukaanza kushuhudia madhila hayo, akajitetea kusema
Hoooo! Mitambo ilikuwa haifanyiwi ukarabati, hivyo imechoka kabisa, nahitaji mnipe siku kumi zikarabatiwe!
Kutoka mwaka Huo mpaka sasa, siku kumi hazijawahi kuisha!
Bwawa la umeme JKNHP, Kwa tarifa za waziri aliyekuwepo, lilitakiwa liwe limeshajazwa maji tangu 2021 huko, alipofika yeye akadai, Kunahitajika kifaa Kutoka nje ya nchi yetu ili kikifika, ndio kazi ya kujaza maji ifanyike, tokea mwaka huo, mpaka hivi sasa, hatusikii Kwa kifaa kufika au bwawa kujazwa maji!
Tumsikilize Kwa lipi?
Kutoka kulipia 27,000 tu, ili uingiziwe umeme nyumbani kwako, ikafika mpaka 320,000, na majuzi kasema tena ni 800,000 tsh
Tunaanzaje kumwamini huyu mtu?