For the record AIR TANZANIA haina ndege ilizounda yenyewe. Zote zimenunuliwa ulaya.Kama ilivyo kwa AIR TANZANIA sasa ni muda muafakq wa kuunda na kununua meli kubwa za mizigo ili kurahisisha utoaji wa mizigo nchini kuelekea nchi za nje.
Shipping line hii imilikiwe na serikali na tuache woga wa kufanya hivyo.
Tukajifunze IRAN,CHINA ,INDIA N.K....
Uwezo unapatikana wapi?tukienda kuwafunza vijana unadhani watashindwa?For the record AIR TANZANIA haina ndege ilizounda yenyewe. Zote zimenunuliwa ulaya.
Meli kubwa za kubeba tons na za kisasa source ulaya. Tz haina manufacturing capacity ya kutengeneza hivyo vitu
Landa ndege ndogo, zile tena zinaundwa (assembled), parts zinatoka ulaya zinakuja unganishwa hapa. Tz haina capacity ya kutengeneza hiv vitu from scratch
Unadhani hatujapeleka vijana miaka ya 80,90s?Uwezo unapatikana wapi?tukienda kuwafunza vijana unadhani watashindwa?
Kwa kipindi hiko ilibidi iwe hivyo kwa kuwa ilishindikana kufinance hizo projects lakini kwa sasa inawezekanqUnadhani hatujapeleka vijana miaka ya 80,90s?
Walivyorudi almost wote tukawapa uongoz kwenye siasa. Hawakuja kufanyia kazi tulicho wapeleka
Ndicho kinachoendelea mpaka leo. Labda mbadili policy
Mkuu una bahati sana. Yaani unaishi katika ulimwengu mwingine kabisa wenye raha zake; sio wa dunia hii yenye matatizo halisi yenye kusotesha sana akili. I wish knew what stuff you actually smoke to be in that fantasy land.Kama ilivyo kwa AIR TANZANIA sasa ni muda muafakq wa kuunda na kununua meli kubwa za mizigo ili kurahisisha utoaji wa mizigo nchini kuelekea nchi za nje.
Shipping line hii imilikiwe na serikali na tuache woga wa kufanya hivyo.
Tukajifunze IRAN,CHINA ,INDIA N.K....
Ulisoma Sayansi au Sanaa??Mkuu una bahati sana. Yaani unaishi katika ulimwengu mwingine kabisa wenye raha zake; sio wa dunia hii yenye matatizo halisi yenye kusotesha sana akili. I wish knew what stuff you actually smoke to be in that fantasy land.