Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Kwa mtu anaepend vyenga hataona faida ya fraga lakini mshenzi yuke anakata umeme utafikiri Tanesco ni mali yakeKwa yule kiungo fraga mkude hata akileta dharau hakuna wa kumuweka benchi
mzamiru sawa asaivi yupo kwenye peak ila sio fraga Hana pasa za macho anapiga mpira ambapo hata himidi mao anapiga kiungo ni akili kama mkude game ikiwa ngumu kunya dongoKwa mtu anaepend vyenga hataona faida ya fraga lakini mshenzi yuke anakata umeme utafikiri Tanesco ni mali yake
Vipi kuhusu muzamiru?
Jana mzamiru man of the matchKwa mtu anaepend vyenga hataona faida ya fraga lakini mshenzi yuke anakata umeme utafikiri Tanesco ni mali yake
Vipi kuhusu muzamiru?
asaivi!mzamiru sawa asaivi yupo kwenye peak ila sio fraga Hana pasa za macho anapiga mpira ambapo hata himidi mao anapiga kiungo ni akili kama mkude game ikiwa ngumu kunya dongo
Mpaka unajiuliza huyu katoka brazil au maketeWatu wanamchukulia poa sana Fraga lakini yule jamaa anapiga kazi acha kabisa. Kila sehemu yupo jamaa ukilenda undava nae yumo. Ukitaka mpira wa kuchezeana ovyo nae hakuachi, akipata mpira ametoa kwa mtu na ni fundi wa kuharibu sana mipango ya timu pinzani. Kocha sio kichaa kumchezesha game ngumu kama ya Azam jamaa ana potential.
Na kubaliana na wewe sijui mo ibrahim alifeli wapiMuzamiru Yaasin ni habari nyingine.
Anafanya anachotaka uwanjani na Mpira unamtii.
Huu ni wakati wa Muzamiru
acha ushogaasaivi!
Ukimuona alivyo unaweza sma mtoto wa mama lakini uwanjani anakichafua mbayaMimi ni shabiki wa Simba ,ila mpira wa Tz huwa sitaki kuungalia live ,nisije nikaacha ushabiki bure ! Kuwajua wachezaji wazuri huwa nachukulia pointi kwenu! Ila inaelekea Fraga ni kifaa !
Eti Kweli, wakati Mo Ibrahimu alikuwa juu ya Mzamiru kwa kutembea na Mpira.Na kubaliana na wewe sijui mo ibrahim alifeli wapi
Mpaka unajiuliza huyu katoka brazil au makete
Faida ya Fraga ni kuwa kwanza ana (fighting spirit) pili anajituma Sana kwenye mazoezi, na pia bado Kijana mdogo, hivyo ni rahisi kupandisha kiwango chake.Ukimuona alivyo unaweza sma mtoto wa mama lakini uwanjani anakichafua mbaya
Eti Kweli, wakati Mo Ibrahimu alikuwa juu ya Mzamiru kwa kutembea na Mpira.
Tatizo MO Ibra, alifadhaika alipokuwa benchi, alikata tamaa uwezo wa kujiamini ulipungua. Ila Mo angejiamini na kuendelea kupiga mazoezi kwa bidii
angetisha sana.
Ajitahidi tu huko aliko Namungo fc, anauwezo wa kurudi Tena Msimbazi.
Ndio maana mimi nilimwona kama ana unyonge fulani nilifikiri ni athari za kukaa benchi.Mo ibrahim tangu afiwe na mwanae ameshindwa kukubali matokeo akawa mtu wa pombe na sononeko moyoni anahitaji ushauri wa kitaalam
HahaaaaaaaaaaMpaka unajiuliza huyu katoka brazil au makete