Ni Wakati wa Mkude kujitafakari

Ni Wakati wa Mkude kujitafakari

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Jonas Mkude ni kipenzi cha wanaSimba na mtoto wa nyumbani Msimbazi kama walivyo Ajib, Ndemla na Miraji. Mkude amekuwa mtovu wa nidhamu mara kwa mara na wakati huu amekuwa nje ya timu kwa mechi ya tatu sasa kimashindano.

Ni wakati wa kujitafakari sasa Simba. Hii si Simba ile ambayo ilikuwa haiwezi kwenda bila yeye, viwango wanavyovionesha Gerson Fraga Viera na Muzamir Yassin inaweza kuwa ndiyo tiketi yake ya kukalia benchi.

Pia, kijana Ajib, wakati huu Chama amefloo ndiyo wakati wako wa kuchukua namba. Ongeza juhudi kijana.
 
Kwa mtu anaepend vyenga hataona faida ya fraga lakini mshenzi yuke anakata umeme utafikiri Tanesco ni mali yake
Vipi kuhusu muzamiru?
mzamiru sawa asaivi yupo kwenye peak ila sio fraga Hana pasa za macho anapiga mpira ambapo hata himidi mao anapiga kiungo ni akili kama mkude game ikiwa ngumu kunya dongo
 
Watu wanamchukulia poa sana Fraga lakini yule jamaa anapiga kazi acha kabisa. Kila sehemu yupo jamaa ukilenda undava nae yumo. Ukitaka mpira wa kuchezeana ovyo nae hakuachi, akipata mpira ametoa kwa mtu na ni fundi wa kuharibu sana mipango ya timu pinzani. Kocha sio kichaa kumchezesha game ngumu kama ya Azam jamaa ana potential.
 
mzamiru sawa asaivi yupo kwenye peak ila sio fraga Hana pasa za macho anapiga mpira ambapo hata himidi mao anapiga kiungo ni akili kama mkude game ikiwa ngumu kunya dongo
asaivi!
 
Watu wanamchukulia poa sana Fraga lakini yule jamaa anapiga kazi acha kabisa. Kila sehemu yupo jamaa ukilenda undava nae yumo. Ukitaka mpira wa kuchezeana ovyo nae hakuachi, akipata mpira ametoa kwa mtu na ni fundi wa kuharibu sana mipango ya timu pinzani. Kocha sio kichaa kumchezesha game ngumu kama ya Azam jamaa ana potential.
Mpaka unajiuliza huyu katoka brazil au makete
 
Mimi ni shabiki wa Simba ,ila mpira wa Tz huwa sitaki kuungalia live ,nisije nikaacha ushabiki bure ! Kuwajua wachezaji wazuri huwa nachukulia pointi kwenu! Ila inaelekea Fraga ni kifaa !
 
Mimi ni shabiki wa Simba ,ila mpira wa Tz huwa sitaki kuungalia live ,nisije nikaacha ushabiki bure ! Kuwajua wachezaji wazuri huwa nachukulia pointi kwenu! Ila inaelekea Fraga ni kifaa !
Ukimuona alivyo unaweza sma mtoto wa mama lakini uwanjani anakichafua mbaya
 
Fraga yuko vizuri ila sio mchezaji wa kiwango cha kutisha kiasi icho ukizingatia kavuka bahari
 
Na kubaliana na wewe sijui mo ibrahim alifeli wapi
Eti Kweli, wakati Mo Ibrahimu alikuwa juu ya Mzamiru kwa kutembea na Mpira.
Tatizo MO Ibra, alifadhaika alipokuwa benchi, alikata tamaa uwezo wa kujiamini ulipungua. Ila Mo angejiamini na kuendelea kupiga mazoezi kwa bidii
angetisha sana.
Ajitahidi tu huko aliko Namungo fc, anauwezo wa kurudi Tena Msimbazi.
 
Ukimuona alivyo unaweza sma mtoto wa mama lakini uwanjani anakichafua mbaya
Faida ya Fraga ni kuwa kwanza ana (fighting spirit) pili anajituma Sana kwenye mazoezi, na pia bado Kijana mdogo, hivyo ni rahisi kupandisha kiwango chake.
Alipokuja alikuwa Kijana lainilaini Sana, alipoona Mpira wa kibongo Ni wa nguvu naye akakaza.
Fraga bado anapanda kiwango atakuja kutisha hapo baadae.
 
Mo ibrahim tangu afiwe na mwanae ameshindwa kukubali matokeo akawa mtu wa pombe na sononeko moyoni anahitaji ushauri wa kitaalam
Eti Kweli, wakati Mo Ibrahimu alikuwa juu ya Mzamiru kwa kutembea na Mpira.
Tatizo MO Ibra, alifadhaika alipokuwa benchi, alikata tamaa uwezo wa kujiamini ulipungua. Ila Mo angejiamini na kuendelea kupiga mazoezi kwa bidii
angetisha sana.
Ajitahidi tu huko aliko Namungo fc, anauwezo wa kurudi Tena Msimbazi.
 
Mo ibrahim tangu afiwe na mwanae ameshindwa kukubali matokeo akawa mtu wa pombe na sononeko moyoni anahitaji ushauri wa kitaalam
Ndio maana mimi nilimwona kama ana unyonge fulani nilifikiri ni athari za kukaa benchi.
Mambo ya Mungu ni lazima tuyakubali hatuna namna.
MO, meanza kutupia huko Namungo fc.
Nina uhakika atakaa sawa
 
Back
Top Bottom